Hii ikoje wadau,
Kuna rafiki yangu mmoja anaishi nyumba za kupanga maeneo fulani jijini Dar, mwanzo alipenyezewa ubuyu na dogo mmoja mpangaji mwenzake kwamba, mkewe kila mara huletewa chips na jamaa mmoja mpangaji mwenzake bachela, anayefanya kazi katika bank moja hivi, yule jamaa anaporudi toka kazini husalimiwa kwa bashasha sana na yule mwanamke, na pengine jamaa huja na chips mbili yaani ya kwake na nyingine humgawia yule dada (mke wa mtu).
Yule jamaa mwenye mke alivyopenyezewa ubuyu huo akaamua kufanya uchunguzi, na akagundua kwamba na mkewe humpakulia chakula siku moja moja yule jamaa bachela na kumuhifadhia.
Sasa mwenye Mke kaona huu ukarimu usije mletea balaa, kamuuliza mkewe kuhusu tabia hiyo na mkewe kakubali na kumsihi mmewe kwamba aache “uchoyo” kwani anafanya hayo kwa nia njema ya ujilani mwema.
Mume kamaindi sana anatamani ahame pale, kanipigia simu kuniomba ushauri mimi kama rafiki yake, nimemwambia asihame kwa ghafla, maana kuhama ndiyo haswaa kutawafanya wapigiane simu ili wakutane; Je wewe unamshauri nini jamaa huyu?
Maana mkewe ni mashalaah kajaaliwa haswa,na amekuwa gumzo kwa wapangaji wenzake hususani mabachela, siku za wikend washikaji wakiwa nje wakipiga story “huyu mwanamke anapokuwa anatoka bafuni kuoga akiwa na kanga,huwa akifika mlangoni kwake hukung’uta miguu yake kwa kuipigapiga chini kwenye kapeti kwa zaidi ya sekunde 15 akiwa kama anafuta michanga miguuni.
Hiyo tabia wale vijana wanaitafsiri kuwa ni mbinu tu ya huyu dada kuwaumiza roho kwa ile vibration ya makalio yake yalivyo, sasa kwa kisa hiki huyu jamaa atakuwa salama kweli? Nimeipost humu kwakuwa wanaume wenye wake katika nyumba za kupanga wamekuwa wanaishi kwa presha sana na mabachela boy.
KARIBUNI