Kuoa kijijini ni uboya au ujanja?

Mtatuzi_

Member
Jun 26, 2016
12
10
Habari zenu washikadau,

Hebu tueleweshane kidogo

Hivi kuoa kijijini ni ushamba au ujanja?

Mila ziwekwe pembeni
 
Hivi sikuhizi wapi ni kijijini tena?

Kama kupo basi jua suala si kuoa kijijini, mjini au jijini...suala ni huyo mwanamke utakayemwoa.

Ile dhana kuwa wa vijijini wametulia kuliko wa mjini haifanyi kazi tena siku hizi.
 
Mkuu kama sio mwanamke wa digital mzuri huyo hawa wa digital presha tupu. Hujulikani kama una kisukari au ukimwi kwa hawa wanawake omba omba wa mjini.
 
Habari zenu washikadau....
Hebu tueleweshane kidogo
Hivi kuoa kijijini ni ushamba au ujanja..?
Mila ziwekwe pembeni

Sio ushamba ni uamuzi tu. Mbona kuna sherehe nyingi zinafanyika vijijini na zinakuwa nzuri sana, wanaofunga ndoa na wageni hujaa furaha.

Kama ulitaka uliza mengine ungebadilisha sentensi yako
 
Back
Top Bottom