okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,639
Habarini,
Asilimia kubwa ya mahusiano, normally mwanamke anakuwa ni passive investor, na mwanaume anakuwa ni active investor, tangu mwanzo wa mahusiano mwanaume ndo wa kuanzisha conversation, kumfuata fuata demu, kumpigia na kumtext demu (EMOTIONAL INVESTMENTS).. Plus mwanaume ndo wa kumgharamikia demu kifedha (FINANCIAL INVESTMENTS).
FINANCIAL INVESTMENTS
Kwa mwanamke most of the times she doesn't invest that much, (relationship ni kama business venture).. Most of the times as a man ndani ya mahusiano unapata mapenzi ya kinafiki, drama, pamoja na gharama za kumtunza demu, just imagine ndani ya miezi 3 mtu unatumia laki 6 kuhudumia matatizo ya demu, wakati ukienda ambiance, kwa tsh 150,000 unapata papuchi 10 (ndani ya miezi 3) hiyo hela inayobakia ukinunua hisa CRDB au TCC baada ya mwaka mmoja walau utakuwa umepiga hatua kiuchumi.
EMOTIONAL INVESTMENTS
Its a crime kwa mwanaume kuwa na demu mmoja coz huyo demu akikunyima papuchi au akikuletea mapicha picha ili utimize demands zake utakuwa mdogo kama piriton, ila ukiwa na makoloni mengine at least kama 8 pembeni, demu wako akikuzingua unamtema coz unajua pa kuhemea ni wapi, hata mkiachana as a man u dont have much to lose..As long as unakumbuka kujilinda na magonjwa ya zinaa.
NB: Huu ushauri ni kwa ajili ya wanaume walioyachoka mapenzi, kama you still believe in true love this advice is not for you.