1st year
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe...
Kuna tendency ya mabinti hasa hawa warembo kuogopa kuwa kwenye mahusiano na sisi wanaume wenye shahada au fani za uchumi.hivi kwa nin huwa wanatukwepa sana?
Natumai hamjambo,
Wazee wetu wenye busara huwa wana mtazamo chanya juu ya swala la kuchagua mwenzi wa maisha huku wakisisitiza kutokuwa na vigezo vingi na vigumu wakati wa kutafuta mke au binti...
Nimefanya utafiti usio rasmi nimegundua watu wenye taaluma ya uhandisi na ualimu huingia katika ndoa mapema sana kuliko wenzao wa sheria na mambo ya fedha.
Wahandisi na walimu huanza kuoa au...
Waungwana,
Mbona hili swala la watu kulalamika juu ya haya mapenzi kuwatesa tatizo ni la nani hasa? Maana wanawake wanalalamikia wanaume na wanaume wanawalalamikia wanawake, hivi nani chanzo cha...
Habari wana JamiiForum na MMU kwa ujumla...
Leo nimeguswa kuongelea hichi kisehemu cha Love Connect ndani ya JF na watu wake kwa ujumla...
Tumekua tukiona watu wengi japo ni kwa ID fake wamekua...
Habarini za kwenu,
Nimeona kuna haja ya kuonesha umuhimu wa kufanya mapenzi na pia hapo hapo utaona EFFCTS ON MASTURBATION, na pia ejaculation kwa kujichua ina athari and its NOT ADVISABLE ...
Ukitaka kumjua mwanamke mwenye furaha kwenye mapenzi yake au ndoa yake mtizame sura yake utajua kila kitu sababu hazina ya furaha na amani hutoka moyoni na kilichopo moyoni huonekana usoni.Macho...
Hello guys!
Nashindwa kumwelewa huyu nduguyetu Si mimi tu hata familia haimuelewi na haitaki kumuelewa hata chembe! She is a graduate na ana kazi yake nzuri tu serikalini kwa mshahara wa...
Wadau nawasalimu,
Nimeshawishika kuuliza hili swali baada ya mfululizo wa matukio mfano wa lile la SAUT ambalo si la kwanza kutokea katika vyuo vyetu lingine lilitokea chuo fulani hapa dar kati...
Kwel wabongo ni noma ukitaka kuishi vizuri na mama mkwe sharti uwe chini.so busara kama ni kweli mama dai amemlisha keki mkwewe na mkono Wa kushuto,so busara mkwe wako kuja sehumu ulipo ugegeni...
I Why does love come unexpectedly?
I never thought I've come to experienced such thing like this. But I'm still thankful that I encountered such emotion.
Love can bring you light and happiness...
ukitaka kujua umekua oa ishi ndani ya ndoa usione wanaume wengi wanashinda bar baada ya kutoka kazini sametime ni kuvuta Muda ili ukifika nyumbani ukute washalala pia kutuliza akili maana unaweza...
Kadili yangu ni ngumu kuoa Msichana anayeonekana kwenye vijiwe na maklabu akiwa anajirusha kama hivi,Je hii inaweza kuwa sababu pekee ya madada poa kuto kuolewa kwa sikuhizi?
Mini ni kijana wa miaka kama 25,26 au 27,naishi Mbeya,sina ajira ila nimemaliza degree ya kwanza ya elimu.
Sifa zangu
>mnene Kiasi
>mweupe kiasi
>sio mrefu wala sio mfupi
>Mcheshi,nikiwa...
Mjomba yangu ni mkali sana na huchunga sana watoto wake wa kike, hivyo binamu yangu huyo ni mtoto wa geti kali ile mbaya hakuna kwenda popote zaidi ya kwenye bustani tu iliyopo nje hapo nyumbani...
Habari wanajamii forum
Kwa wale wenzangu na mimi ambao hatujaoa tujitahidi kutengeneza maisha wakati tungali SINGLE maana ukishaingia kwenye majukumu ya kuoa mara nyingi muda wa kujenga maisha...
habari zenu wadau, kwa kifupi naishi na mama yangu pamoja na mdogo wangu miaka kama saba (7) mimi ndo nilikuwa nahudumia familia kwa kila kitu, marehemu baba yangu alishakufaga miaka mingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.