Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Ophir iliingia Tanzania kwa mara ya kwanza Oktoba 2005, wakati iliposaini mkataba wa Makubaliano ya Kuchangia Uzalishaji (PSA) kwenye Kitalu namba 1 na kumiliki asilimia 80 ya hisa katika Kitalu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
DOGO JANJA NAE NI WA KUTUMBULIWA TU. Akiwasilisha ripoti ya watumishi hewa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema katika mkoa wake baada ya kufanya uchunguzi kwa kushirikiana na...
1 Reactions
Replies
Views
SHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE JIJINI WASHINGTON D.C Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ameshirikia katika Kongamano la Kimataifa la Afya lijulikanalo kama World...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Redirect
nashangaa mtu yupo serikalini na ajira yake anamsema mwananchi amemaliza shule au chuo anaambiwa ajishughulishe na kazi wakati hana lolote na pakuanzia. serikali iwawezeshe watafanya kazi. kwa...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Za asubuhi wadau.. Kiukweli hamna kitu kilikuwa kina nikera kama hiki kidudu kilikuwa kinaitwa service charge kwenye ununuaji wa umeme... Niwapongeze tanesco kwa kufuta huyu mdudu... Leo...
1 Reactions
Replies
Views
CHAMA CHA ACT WAZALENDO --------------------------------------------- KAMATI YA BUNGE NA SERIKALI ZA MITAA TAARIFA MUHIMU KWA UMMA. Ndugu wanahabari na watanzania kwa ujumla. Mtakumbuka kwamba...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Redirect
Tukiwa tunashangalia kufutwa kwa service charge kwa shirika la umeme Tanzania imefahamika kua shirika hilo sasa linavujia damu ndani kwa ndani huku likiponzwa kiutendaji kwa kuingiliwa...
0 Reactions
Replies
Views
Watanzania tu watu wa ajabu sana na hatuna tofauti na watoto wadogo, Ccm imekaa madarakani miaka zaidi ya 50 na viongozi wake ni wale wale wanaotokana na mfump wa ccm. Toka enzi ya mkapa mpaka...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Sisi watanzania ni wajinga, lakini sisi sio wajinga siku zote, utatufanya wajinga kwa mda tu lakini hutatufanya wajinga watu wote na wakati wote. Tutafakari kuona kwamba Harbinder Singh...
23 Reactions
104 Replies
13K Views
MBIVU na mbichi kuhusu ukweli wa mkataba kati ya Jeshi la Polisi na kampuni ya Lugumi Enterprises Limited wa ufungaji wa vifaa vya kuchukulia alama za vidole katika vituo vya polisi nchini...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kufuatia ziara ya JPM Rwanda sasa madaktari wa moyo kutoka JKCI watakuwa wakienda Rwanda kufanya matibabu ya moyo wakisaidiana na madaktari wa Rwanda na washirika wao kutoka nchi mbalimbali...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania imetakiwa kushusha kiwango cha kodi kinachokatwa kwenye mishahara ya wafanyakazi sambamba na kupandisha kima cha chini cha mshahara kufikia 750,000 ili kuweza kuboresha maisha...
2 Reactions
37 Replies
10K Views
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) jijini Dar es Salaam vimeanza kufilisiwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mpango wa Serikali ya Rais John Magufuli kupoka vyanzo...
0 Reactions
108 Replies
14K Views
Rais Magufuli asema watumishi hewa wamejaa mpaka Ikulu, Ofisi ya Waziri mkuu, Majeshini etc. Amuagiza Katibu mkuu kiongozi kuunda "task force" yenye ulinzi maalumu ku-deal na watumishi hewa. 10%...
3 Reactions
76 Replies
17K Views
Huwezi kuzungumzia mafanikio ya upatikanaji wa gesi kutoka Mnazi bay bila kuitaja Maurel and Prom Tanzania. Kampuni hiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa gesi hiyo ambayo tayari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka Uganda katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Kenya, Uganda na Tanzania kujadili mradi wa Bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda. Kikao hicho kiliisha Saa 6:30...
8 Reactions
80 Replies
11K Views
Balozi wa marekani akiwa na ujumbe wake leo wamekutana na viongozi wakuu wa serikali ya Tanzania na kuihakikishia nchi yetu kuwa wataendeleza uhusiano mwema kati ya nchi hizi mbili. Akiongea...
1 Reactions
66 Replies
11K Views
Mh Anne Kilango Maleccela anasubiri kupangiwa kazi nyingine na Rais Dr Magufuli na huenda akapangiwa kazi nzuri zaidi ya kazi yake ya awali ya Ukuu wa Mkoa. Kuna baadhi ya taarifa zinasema kwamba...
6 Reactions
122 Replies
19K Views
Neno la Leo: Kuna watu hawataki kuamini kabisa kati ya watu wawili ambao Watanzania walipewa wawachague kuwa viongozi wao kwa miaka mitano Magufuli alikuwa bora zaidi kuliko yule mwingine. Lakini...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…