Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Rais wa Sudani Kusini, Mhe. Jenerali, Salva Kiir Mayardit (mwenye kofia nyeusi) akishuka katika ndege ya Shirika la Kenya mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu...
0 Reactions
Replies
Views
Wanajamvi Salaam; Kwa sasa habari kubwa kwenye vyombo vya habari vyote,ni kuhusu ufisadi wa kutisha unaohusisha jeshi la police na baadhi ya viongozi akiwemo waziri wa mambo ya ndani Charles...
2 Reactions
72 Replies
8K Views
Naibu waziri wa nishati na Madini Mh. Massele amewaambia watanzania kwamba serikali ya ccm ni dhaifu katika usimamizi wa sheria. Akizungumza katika kipindi cha kipima joto cha ITV, mh Masele...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Inawezekane Vijana Wanalalamika Mitaani Kwa Kukosa Ajira Na Wakati Kuna Wajanja Wachache Wanaifaidi Hii Nchi Kwa Kujipatia Mishahara Maradufu Hili halikubaliki hata kidogo. Najiuliza sana kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imeelezwa kuwa takribani vijiji 6000 vitaunganishwa na huduma ya umeme katika mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu unaofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Hayo yameelezwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Redirect
Nakumbuka moja ya episode kali wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka jana ni ile iliyomfikisha LOWASSA Gongolamboto na kununua kipande cha mhindi wa kuchoma cha sh. 200 kwa Noti ya sh.10, 000...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wengi hasa enzi za jk tulizoea kusema neno lolote juu ya rais na hakuna aliye tugusa. lakini toka awamu hii ianze watu wengi sana wapo rumande kwa kumsema vibaya Rais. Kuna jamaa jana huko arusha...
1 Reactions
Replies
Views
Mikataba tata mingi ambayo imeleta sintofahamu na vurumai katika serikali ya awamu ya 3 na ya 4 kama KAGODA, MEREMETA, RICHMOND, DOWANS, ESCROW zote hizi ni kampuni zilizokuwa au zinazohusiana na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
Katika jambo lililokuwa linanisononesha ni kuambiwa mzee wangu kingunge ni mtu asiyekuwa mwislam wala mkristo yaani mpagani, hawakuishia hapo wakati wa bunge la katiba alipewa kuwa mwakilishi wa...
0 Reactions
Replies
Views
wadau leo kulikua na misa ya kumbukumbu ya miaka 32 ya aliyekua waziri mkuu hayati Edward Moringe sokoine iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu joseph na kuongozwa na paroko wa parokia chini ya...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Kwa moyo wa dhati kbs nampongeza Rais Magufuli ktk jitihada zake za kubana matumizi. Lakini nina mambo mawili ya kumshauri; #MOSI; Kubana matumizi bila kubuni vyanzo vipya vya mapato ni kazi...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Unaweza kudhani tuko salama mikononi mwa rais Magufuli lakini ni salama kiasi gani hakuna aliye na hakika. Mafisadi na waliolewa uongozi wanaweza kufanya chochote, hata kumpigia kura ya kutokuwa...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi amewapa amri polisi wa mkoa wa Mwanza kumuua mtu yeyote atakayetajwa au kudaiwa kwamba ni jambazi. Kama Msangi ana uwezo na mamlaka haya kwa nini...
3 Reactions
101 Replies
12K Views
RAIS wa Sudan Kusini, Salva Kiir (pichani) leo anatarajiwa kusaini mkataba wa kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mbele ya Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Rais John Magufuli...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
JANA katika gazeti hili kulikuwa na habari njema inayoonesha kwamba takribani vijiji 6,000 nchini vinatarajiwa kuunganishwa na huduma ya umeme katika mradi wa usambazaji nishati hiyo vijijini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
Juzi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alisisitiza nia yake ya kutaka kulifanya Jiji la Dar es Salaam kuwa bora katika suala la usafi, utulivu na amani kwa ujumla. Alisema amejipanga...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
*Endapo mkuu wa takukuru aliwahi hudumu uofisa ndani ya jeshi letu tukufu sijui hapa itakuwaje?
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Napenda kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kurudisha discipline serekalini. Kwa yeye mwenyewe kuona uozo na ufisadi kwenye idara zote za serekali ni ngumu inabidi asaidiwe...
0 Reactions
Replies
Views
Serikali imekuwa na nia ya kuwasaidia wananchi kupitia vyama vya kuweka na kukopa na kupitia vyama vya ushirika.Vyama hivi huangaliwa na maofisa ushirika kuanzia usajili ,ukaguzi nk Tatizo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Kwa mtazamo wangu kwa hili waziri Simbachawene kakurupuka. Haiwezekani migogoro iliyopo machinga complex imalizwe na mkuu wa mkoa wakati Meya wa jiji yupo. Swali lakujiuliza muda wote alikua wapi...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom