Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania - Maurel et Prom Ltd

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
mnazi bay.jpg

Huwezi kuzungumzia mafanikio ya upatikanaji wa gesi kutoka Mnazi bay bila kuitaja Maurel and Prom Tanzania. Kampuni hiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa gesi hiyo ambayo tayari imekwishanza kusafirishwa kuja Dar es Salaam.

Kwa habari zaidi, soma hapa => Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania – Maurel et Prom Ltd | Fikra Pevu
 
Huwezi kuzungumzia mafanikio ya upatikanaji wa gesi kutoka Mnazi bay bila kuitaja Maurel and Prom Tanzania. Kampuni hiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa gesi hiyo ambayo tayari imekwishanza kusafirishwa kuja Dar es Salaam.

Maswali machache naomba majibu
1.Imeajiri watanzania wangapi na katika nafasi zipi?
2.Inalipa serikalini kodi shilingi ngapi kwa mwaka
3.Imeajiri wageni wangapi na katika nafasi zipi
4.Inachangiaje maendeleo katika eneo linalowazunguka
 
Asante mkuu. Huu ni wasifu ndio nilioanza nao. Nitarudi tena kuchambua undani wa kila kampuni kwa sababu hapa lengo langu lilikuwa kuainisha kampuni zilizopo nchini ambazo zimewekeza kwenye sekta ya mafuta na gesi.

Nitakapokuja wakati mwingine, nitachambua kila moja kuangalia hayo yote ambayo mkuu umeyahoji - kwa mapana.

Lakini naomba utembelee tu na hapa uweze kujua kidogo
MAUREL ET PROM company : Shareholders, managers and business summary | Euronext Paris: MAU | 4-Traders
 
Back
Top Bottom