Balozi wa marekani akiwa na ujumbe wake leo wamekutana na viongozi wakuu wa serikali ya Tanzania na kuihakikishia nchi yetu kuwa wataendeleza uhusiano mwema kati ya nchi hizi mbili.
Akiongea baada ya mkutani huo, waziri wa mambo ya nje, ushirikiano wa kikanda na kimataifa amesema kuwa Marekani imeahidi kuendelea kuisaidia tanzania na kuahidi Dola 750m kila mwaka kwa Tanzania.
Pia ametolea maelezo swala la Mcc kwa maeneo ambayo hayakueleweka vizuri.
Chanzo: TBC