"Lugumi amefariki dunia, atazikwa huko huko, hakuna mwandishi Wa habari anaeruhusiwa kuhudhuria msiba wake, infact hata ndugu zake hawaruhusiwi kuhudhuria"
: 14/04/2017
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkaribisha Rais wa Vietnam Truong Tan Sang, kwa ajili ya mazungumzo ya pamoja na viongozi wengine katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa...
Wadau naomba tujadili bila ya jazba!
Naomba tuangazie kanuni anazotumia mh. Rais katika kusimamia misingi ya uadilifu na utendaji uliotukuka!
Hebu na tujikumbushe matukio haya mawili!
Serikali...
Kwanza napenda nimpe pongezi Mh. Rais kwa kanzi nzuri anayoifanya ya kupambana na rushwa, kuongeza ufanisi wa kazi kwa watumishi wa serikali na kuongeza mapato ya serikali kutokana na ukusanyaji...
Ziara ya CHADEMA, mbinyo mkubwa zaidi unakuja dhidi ya mafisadi wa ESCROW.
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe mwanzoni mwa wiki hii alikutana na kufanya mazungumzo na Kansela wa Ujerumani Bibi...
Kwa muda mrefu yamekuwepo madai kwamba Chama cha Mapinduzi na wanachama wake wamekua mstari wa mbele kupandikiza mbegu za ubaguzi na kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini, ukanda, ukabila au...
wakati mkiwa mmehamia katika hii record mpya ya LUGUMI huku ufipa mambo si mambo.
Yule Mseminary wetu KATIBU MKUU nae kaanza kuisoma namba, watendaji wamemkaushia kwelikweli. The famous gang...
Hivi karibuni tulisikia serikali ikichukua hatua dhidi ya wabunge waliokuwa wakidaiwa kutotambua wajibu wao wa kazi na kutumia nafasi za kusimamia na kushauri serikali kuomba rushwa. hili ni la...
Nimeona nitoe hii tahadhari mapema.
Anapokuwepo EL si rahisi kumkuta Tundu Lissu. Jana taifa limeuaga mwili wa Dada yake Tundu Lissu, ambae alikuwa mbunge viti maalum.
Kinachosikitisha EL...
Mvuvi katika bwawa la Kindai manispaa ya Singida, Mzee Salumu Kikomeko (84),akionyesha moja ya vyandarua vya mbu vinavyotumiwa na wavuvi haramu katika bwawa hilo. Matumizi ya vyandarua katika...
Adaiwa kupanda ndege usiku wa manane,hajulikani alikokwenda.
Chanzo: Mtanzania(kupita magazeti Channel 10)
======================
Lugumi atoroka nchi
*Adaiwa kupanda ndege usiku wa manane...
Ni maneno yanayoanza kujizolea umaarufu kwenye serikali ya JPM lakini hapaswi kuendelea kuyatumia, yanaleta ukakasi kwa mtu anayejinasibu kusimamamia ukweli bila wog.
Kwakuwa ameamua nyeupe...
Tathmini ya matunizi ya gharama za usafiri wa Pombe kutoka Dar es Salaam kwenda Kigali na kurudi
Gari moja kutoka tanzania kwenda Rwanda na kurudi katika msafara wa JPM lilitumia lita 1250, jumla...
Adaiwa kupanda ndege usiku wa manane,hajulikani alikokwenda.
Chanzo: Mtanzania(kupita magazeti Channel 10)
======================
Lugumi atoroka nchi
*Adaiwa kupanda ndege usiku wa manane...
Vifo vingi vinasababishwa na mafisadi indirect au direct
ukiibia serikali maana yake unakosesha hospitali kununua dawa hivyo kusababisha vifo,serikali inashindwa kujenga barabara nzuri hivyo...
POLISI watatu wa wilayani Urambo, Mkoa wa Tabora wamefikishwa mahakamani kwa mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Tabora, iliwafikisha...
Kwanza kabisa nianze kwa kukiri juu ya umuhimu wa upinzani nchini,
Ili tanzania isonge mbele licha ya serikali imara kama iliopo sasa, tunahitaji upinzania imara na madhubuti.
Lakini kwa hali...
Mbunge wa Arusha Mjini Kamanda Godbless J.Lema amekabidhi gari la wagonjwa leo jijini Arusha.
Tukumbuke gari hili lilikua likabidhiwe mwaka jana lakini mkurugenzi alisusia kulipokea leo...
Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi wenye kiasi cha takribal Bil 37.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati za Bunge Aishi Hilali ili mkataba huo uweze...
14 Oct 2015@MagufuliJP: Nitaunda serikali ndogo ya watu makini, waadilifu, wachapakazi, werevu na waliotayari kushughulikia kero za wananchi.
Jee vipengele vipi ambavyo bado havijatekelezwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.