Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Ophir iliingia Tanzania kwa mara ya kwanza Oktoba 2005, wakati iliposaini mkataba wa Makubaliano ya Kuchangia Uzalishaji (PSA) kwenye Kitalu namba 1 na kumiliki asilimia 80 ya hisa katika Kitalu namba 7, na kufanya ugunduzi wa gesi katika Kitalu namba 1, 2, 3 na 4 katika eneo la kina kirefu ndani ya mwambao wa Tanzania.
Kwa habari zaidi, soma hapa => Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania (6) – Ophir Energy | Fikra Pevu