Naamini kuwa uchumi wa Tanzania utakuwa

Mkuu,
Naomba nkuulize; Uchumi unakua kivipi? Baada ya kuwaminya mpaka ngama ikatoka hao waliokuwa weshaagiza mali kutoka nje, mkawapa kodi mliotaka bila huruma, na baada ya kuwafuatilia waliokwepa, tuelezeni ni wangapi wameagiza tena makontena kutoka nje??
Mh Pinda alituambia hivi; "Tukiwagusa uchumi utayumba." Hebu tungojee angalao 2016 ipumue tuone ka tutakusanya hayo matrilioni tunayo kusanya ndipo tutakuamini kuwa weye ni nabiii
 
Hata kipindi cha mzee wa msoga figure za nyimbo ya asilimia za kichumi zilikua zinapanda tena kukua kwa kasi sijui nw imekuaje tena kusikia uchumi umearibiwa kipindi cha mzee wetu mi nachoka kabs naacha mambo yaende yenyewe
 
Mkuu,
Naomba nkuulize; Uchumi unakua kivipi? Baada ya kuwaminya mpaka ngama ikatoka hao waliokuwa weshaagiza mali kutoka nje, mkawapa kodi mliotaka bila huruma, na baada ya kuwafuatilia waliokwepa, tuelezeni ni wangapi wameagiza tena makontena kutoka nje??
Mh Pinda alituambia hivi; "Tukiwagusa uchumi utayumba." Hebu tungojee angalao 2016 ipumue tuone ka tutakusanya hayo matrilioni tunayo kusanya ndipo tutakuamini kuwa weye ni nabiii
Mkuu wewe ulitaka wafanywaje kwa mfano? Waachiwe kama ilivyozoeleka au?
 
Labda kwa njia zile zile za primary production exportation na mchango wa services sector (tena subiri hasara zinazofuata hapo ili zoezi la kuhakiki simu feki likikamilika) isitoshe kwa Tanzania ya viwanda itakuwa ngumu sana. Sio kwamba aiwezekani hila hizo sera rafiki azipo kwanza jana wakati namsikiliza waziri wa viwanda it became clear there are no attempts to lower the costs of production; malalamiko ya serikari ni kwamba bidhaa zinazoingia zinakodi ndogo huko zilipotoka au sijui wanazalisha kwa ruzuku ndio maana nafuu na sisi ndio tumekuwa dumping ground. Unajiuliza what has that got to do with price elasticity factor kwa soko letu and attempts to sustain industrial given 70-80% of the market are categorically value oriented consumers.

Kama wewe utazalisha kwa gharama za juu bidhaa zitadoda tu kama sukari ata ukilazimisha the sales volume will be limited by prices (na ndio encouragement ya magendo ilipo soko lipo isipokuwa prices za ndani tatizo kwa watanzania wengi), maana yake uzalishaji utapungua, hayo mazao shambani yatadoda na ajira azitakuwa za vile jumlisha na equation ya higher interest rate, changamoto za middleman na umeme unaoweza punguza production rate (vyote hivyo vinaenda lipiwa na mlaji); where is the value ya kufanya bidhaa ziuzike sokoni considering the pocket size ya asilimia kubwa ya wateja wako.

Hadithi tu yaani katika wachumi niliowai kuwasikia Tanzania marehemu Mgimwa alikuwa level nyingine yule angekuwa leo na Magufuli naamini matunda tungeyaona jamaa ulikuwa ukimsikia mpaka raha jinsi mazingira ya Tanzania anavyoyajua na hoja za uhalisia sio hawa tia maji tia maji.
 
Mkuu,
Naomba nkuulize; Uchumi unakua kivipi? Baada ya kuwaminya mpaka ngama ikatoka hao waliokuwa weshaagiza mali kutoka nje, mkawapa kodi mliotaka bila huruma, na baada ya kuwafuatilia waliokwepa, tuelezeni ni wangapi wameagiza tena makontena kutoka nje??
Mh Pinda alituambia hivi; "Tukiwagusa uchumi utayumba." Hebu tungojee angalao 2016 ipumue tuone ka tutakusanya hayo matrilioni tunayo kusanya ndipo tutakuamini kuwa weye ni nabiii
Afadhali waagizaji wachache wenye kulipa kodi. Hao wengi wakwepa kodi hawahitajiki.
 
Back
Top Bottom