Mambo yamebadilika sana kizazi hiki
Ukiwasikiliza wanajinasibu kuwa vijana ndio nguvu ya Taifa utafikiri hizo nguvu wanazo kweli
CCM imefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana "kuwaua" vijana...
kuna mlolongo wa ziara za Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa viongozi wakuu wastaafu katika miezi ya karibuni, na baadhi yake zilikuwa karibu sana na kujiuzulu kwake. Lakini ni muhimu kutenganisha...
Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na...
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI...
Najua hamtaniamini. Najua mpo mtakaobisha vya kutosha na kutisha. Mtapaniki kuliko pikipiki ya kutumia kiki. Lakini, nawaambia jambo hili. Ni jambo geni na kubwa lakini muhimu na linalowezekana...
Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission ...
Wakati naenda makumbusho Leo nimekutana na mtu mmoja amvaa baragashia akasema
'Wanamtandao wanatanduana ni mnyukano Kati Yao
Akanidokeza kuwa waziri mkuu ajaye ni Mchengerwa soon as possible...
▪︎ Ataja umwagiliaji, zana za kisasa za kilimo, na uongezaji thamani kuwa maeneo ya kimkakati
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kuongeza uwekezaji katika maeneo ya...
▪️Ataja umwagiliaji, zana za kisasa za kilimo, na uongezaji thamani kuwa maeneo ya kimkakati
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kuongeza uwekezaji katika maeneo ya...
Wakili Aloyce Komba, Wakili Kiongozi wa Haki Kwanza Advocates, ni mtaalamu wa mwenendo wa kesi za jinai, haki jinai na haki za binadamu. Katika mahojiano haya, anaeleza maana ya Mahakama Kuu...
Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma.
Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi...
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imekanusha taarifa kuhusu ununuzi wa Toyota Coaster yenye usajili STN 7615, ikisema basi hilo jipya lilinunuliwa kupitia GPSA kwa Shilingi milioni 334 kwa ajili ya...
Wanabodi,
Mabandiko mengine sio mabandiko ya kitoto!, ukijiona huelewi, we jipitie tuu!.
Angalizo la Alama ya Kuuliza "?".
Mimi mwenzenu jameni, nimewahi kuitwa mahali na kufikishwa mbele ya...
Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kuchimba habari ambazo zinaleta sintofahamu kwenye jamii.
Ushindani wa vyombo vya habari ni kuwa wa kwanza KULETA habari Kwa wakati haswa zile za kiuchunguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.