Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Muda huu saa sita mchana, Jengo zima la Mahakama umeme umezimwa, kuna giza nene kama tupo kuzimu halafu njee kuna mvua inaendelea kunyesha. Msajili wa Mahakama hii, Lyakinana anawaogopa sana...
31 Reactions
59 Replies
1K Views
Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili. Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea...
0 Reactions
2 Replies
162 Views
DCI Ramadhani Kingai Amewasili ila Mawakili Wa Lissu Wamezuiwa Kufanya Nae Mashauriano Pamoja nae
5 Reactions
8 Replies
327 Views
Unatoa maamuzi ya kisiasa ili kufurahisha watu wa Muganza. Vx ambalo halina kitanda cha mgonjwa litabeba wagonjwa.? Acha hadaa na siasa za kishamba. Ulipaswa kutumia busara na kuagiza gari la...
7 Reactions
13 Replies
312 Views
Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri...
13 Reactions
38 Replies
783 Views
UTANGULIZI: Habari ndugu MTANGANYIKA, leo ni mambo mengi kweli ya kusema ambayo yanatatiza sana moyo wangu. Nimejaribu kuandika wiki kadhaa lakini naishia kufuta kila nikimaliza kuyaaandika...
86 Reactions
361 Replies
22K Views
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana...
20 Reactions
208 Replies
10K Views
Huyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa Nakulilia Tanganyika
15 Reactions
37 Replies
461 Views
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa maswali mengi ya Katuga kwa mashahidi, iwe kwa upande wa mashahidi wa Jamhuri au kwa mashahidi wa mshitakiwa, huwa ya kipuuzi, ya kupoteza muda, yasiyohusiana...
6 Reactions
15 Replies
445 Views
Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida...
5 Reactions
12 Replies
99 Views
Tarehe 16 Septemba 2026 Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi alitembelea Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
308 Views
Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta...
2 Reactions
18 Replies
284 Views
DeletedMember281674
The war remains active, with no ceasefire or peace agreement in place. Fighting continues along multiple fronts, while both sides increasingly rely on long-range drones and missile strikes...
1 Reactions
3 Replies
598 Views
Miji yetu ukiangalia kwa sehemu kubwa na hata ujenzi wa barabara uliokuwepo tangu zamani, ulikuwa ni ujenzi wa barabara ambao hauna lami. Leo hii nikiwaambia wanitajie lami vizuri ya majitaka na...
1 Reactions
14 Replies
151 Views
Tukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokana na na maandalizi duni. Viwanja bado, hoteli duni, barabara hoi. **Tujiandae kwenda bondeni.
9 Reactions
46 Replies
1K Views
Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora . Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu...
0 Reactions
1 Replies
34 Views
My Take Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu 😂😂 Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani...
6 Reactions
33 Replies
309 Views
Bado naamini chini ya utawala huu wa raia wanasiasa wanaweza kumaliza mambo Yao TU Kwa busara na maridhiano ya kweli. Simaanishi wako juu ya Sheria ila nimefuatilia mataifa makubwa ya...
1 Reactions
35 Replies
514 Views
Back
Top Bottom