Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana.
Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu...
Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha...
Anasema haka kajamaa kanajitutumua sana. Lakini ni kama kamedharaulika tu watu hawakaoni. Kila siku kanatoa matamko na takwimu za kipuuzi za kichawa mpaka mwenyewe anasema haka katoto kanafanya...
Leadership is the ability to see beyond the present, understand reality, define a meaningful direction, and persuade people to move toward it.
The book's deeper lesson is that great leaders don't...
Mizizi ya umoja wetu ni mirefu sana kwenda chini ya ardhi ambako muda kuna unyevu muda wote.
Akili ya Nyerere na Karume zilikuwa kubwa sana by far kuliko tulizonazo sisi sasa hivi.
Sio sisi tu...
Aeleza Jinsi PPP Ilivyo muhimu kwenye Uwekezaji wa Elimu na Afya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-CENTRE), David Kafulila, amesema makusanyo ya...
Siasa zinazopigwa ndani ya mahakama katika kesi hii ya kisiasa lakini iliyopewa Jina la "uhaini" actually is very interesting...
Hebu soma hiki ambacho Mhe. Lissu amekisema mbele ya mahakama...
Wanabodi
Naendelea na zile mada zangu za "The Voices From Within" ambazo ni mada za kufikirika tuu.
Angalizo la Mambo ya Sauti.
Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni...
Kwenye Ukurasa wake wa X, Hiki ndicho alichoandika Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC ) Bwana David Zacharia Kafulila katika hitimisho la Dira ya miaka 25 iliyomalizika na...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo.
Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli?
Sasa kwanini Wananchi...
Kafulila na Ramani ya Uchumi wa Dola Trilioni Moja
====
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Tanzania inaweza kufikia uchumi...
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amewataka vijana waliohitimu mafunzo kuzingatia maadili katika matumizi ya mitandao ya kijamii.
Ameyasema wakati akifunga mafunzo...
Wasalaaam, Soma hii Mzumbe Public Lecture kwa makini sana uelewe kwanini serikali zote duniani kwa sasa zinakimbizana na PPP,
Mikopo yote (serikali, sekta binafsi, kaya) imefikia zaidi ya USD...
==
Akihutubia katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Chuo Kikuu cha SUA, Bwana David Kafulila, Mkurugenzi Mkuu wa PPPC Tanzania, alisema mjadala kuhusu kupunguza idadi ya watu una sura mbili...
Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Lucas Mwashambwa
Lucas mwashamba
ChoiceVariable
Tlaatlaah
Ni mpango wa Mungu.
Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi...
TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA ZANZIBAR
Na Waheed Muhammad Ibrahim Sanya,
Msajili wa Hazina Zanzibar
Maendeleo ya mtu, jamii na taifa hayawezi kutenganishwa na uwepo wa rasilimali za kutosha za...
UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP)
Ahadi hiyo ilitolewa na Bi. Fatou Haidara, Naibu Mkurugenzi...
Maana yake kwenye mkakati wa Dira ya miaka 20 ijayoo ijenge SGR kwa gharama zake ikiziunganisha Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Zambia, Malawi lkn pia iboreshe intensively nishati ya umeme...
Na walizungumza nini kwa mfano?
Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana?
au wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.