Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati akii - impose hoja hii.. Jaji Ndunguru: Bado una mashahidi watatu tutamaliza Natumaini tutamaliza within time mshtakiwa maana tulitegemea Ijumaa mngewasilisha final...
5 Reactions
14 Replies
349 Views
Atakaye amini huu uongo na uzandiki basi atakuwa hajiyambui. Yaani mtu abadilishe gari namba zake. Alafu achukue bastola ya kuchechezea watoto alafu atishie mtu hadharani. Hajui madhara yake? Je...
7 Reactions
13 Replies
262 Views
Kuna kada wa CCM anaitwa Marry Nchimbi kafariki kibaha Je Marry Nchimbi ni nani? Mwenye CV yake
6 Reactions
13 Replies
597 Views
Siwezi kuamini hata kidogo kuwa barua ya kujiuzulu inayodaiwa kuandikwa na Dr. Nchimbi ni kweli imeandikwa na Nchimbi mwenyewe. Kama kuna mwenye ushahidi kuwa ni kweli yeye ndie mwandishi wa barua...
3 Reactions
16 Replies
366 Views
Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu. Hili kosa la...
13 Reactions
58 Replies
2K Views
ACT Wazalendo wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugawiwa vyeo. Dalali Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar. Hiki chama yaani wao huwa kinasubiri uchaguzi uishe...
6 Reactions
18 Replies
183 Views
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani...
57 Reactions
208 Replies
15K Views
Hili jambo nimewaza muda mrefu na nimekuwa nashangaa watu hawajaweza kung'amua hili jambo. Kipindi kile ambacho matukio ya watu kupotea na kuuawa yalipozidi, kauli iliyokuwa inatolewa na vyombo...
2 Reactions
2 Replies
90 Views
Tasnia ya habari Tanzania ni mfu. Imejaa watu waoga, wajinga, wapumbavu, machawa, waganga njaa, na walamba makalio. Kwa wadau wa matukio ya habari duniani, mtakuwa mnajua kuwa Rais wa Marekani...
12 Reactions
22 Replies
380 Views
Previously: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1) - JamiiForums Karume na Jussa ni wamoja na wanafahamiana vizuri sana kuliko wewe unavyofikiri...
160 Reactions
730 Replies
136K Views
Dr. Rugemeleza Mwanasheria Mkuu wa Chadema alitoa msimamo wa CHADEMA kuhusu Tume ya Lila. Naomba aniwekee hapa
2 Reactions
2 Replies
55 Views
20 January 2026 Mahakama Kuu Kivukoni, Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=GE4wN4GVeyw Waziri wa zamani kwenye Wizara mbalimbali Geoffrey Idelphonce Mwambe amefungua kesi...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
  • Redirect
Kifo ni kifo. Msilete taharuki
3 Reactions
– Replies
– Views
Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI. Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI. Nadhani kuna SOMO...
0 Reactions
6 Replies
187 Views
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama...
5 Reactions
14 Replies
192 Views
  • Redirect
DEREVA ALIYETISHIA KWA SILAHA BENDERA AKAMATWA Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma, Sath John Masawa (31), kwa kosa la kumtishia kwa kitu kinachodhaniwa...
3 Reactions
– Replies
– Views
Je, ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia? Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga...
2 Reactions
15 Replies
120 Views
Kumetokea vifo na ajali kadhaa vinavyohusu watumishi wa serikali na Idara zake hivi karibuni. Vifo ninavyokumbuka: 1. Boti kuzama Kigoma na kuua watumishi 7 2. Askari polisi 5 na mahabusu 7...
3 Reactions
5 Replies
142 Views
Akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media Septemba 21, 2026, Dkt. Hamisi Kigwangala, Mbunge wa zamani wa Nzega na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amegusia kuhusu maoni ya watu...
2 Reactions
9 Replies
295 Views
Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, pamoja na vifo vya simba 11 na fisi wawili Ngorongoro, ni matukio mazito yanayohitaji uwajibikaji na majibu ya kina kutoka kwa Wizara ya Maliasili na...
1 Reactions
7 Replies
141 Views
Back
Top Bottom