Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Chadema kwa sasa ni chama cha kudakia dakia tu matukio. Mimi kama mlipa kodi ambayo inachangia kwenye ruzuku wanayopewa Chadema sipati thamani au value for money ya pesa yangu. Chama kinatakiwa...
1 Reactions
8 Replies
847 Views
  • Redirect
Makonda amezungumzia ujio wawziri mkuu wa Ethiopia ila ameenda TAMISEMI kwa kuwa alikuwa amegomewa na waandishi wa habari
0 Reactions
Replies
Views
Taarifa hii ililetwa na member anayeitwa R.B kupitia uzi huu NHIF hoi, watunga muswada kuinusuru. Mashirika makubwa kujiunga kwa lazima (IMEKANUSHWA)
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Tumeona vituko vingi katika kipindi hiki kifupi tangu mh wa awamu ya tano aingie madarakani kitendo cha aliyekuwa waziri wa habari kuenguliwa katika wadhifa wake kumefanya wapinzani wajiunge...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kumhoji Makonda kutokana na tuhuma za kutoeshimu bunge. Basi ni bora bunge likawahoji watuhumiwa wa dawa ili waweze kuueleza uma kama ni kweli wanauza madawa au siyo kweli.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Tunasubiri taarifa ya kikao cha kamati ya maadili na madaraka ya bunge dhidi ya mtuhumiwa aliyelikashifu bunge,mheshimiwa Paul Christian Makonda mkuu wa mkoa Dar es salaam. Taarifa hii ni muhimu...
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Matumizi ya Bajeti ya Maendeleo "Mheshimiwa Mwenyekiti, katika mwaka wa 2016/2017, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ilitengewa jumla ya Shilingi 100,527,497,000 kupitia Fungu 43 kwa ajili ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Port / TRA is going bonkers, now also transit export minerals are stopped from shipment. ( as received ) Kindly be notified that we have received instruction from Tanzania Revenue Authority(TRA)...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu habari, Kwa hakika naomba nikiri kuwa mimi ni mmoja wa watu waliopata changamoto katika kipindi cha Rais Magufuli. Hii inatokana na sera zisizobashirika kuhusu uchumi,benki nyingi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Shirika la kimataifa la world vision ambalo linashughulika na misaada ya ustawi wa mtoto linafanya kazi mikoa 13 tanzania na linatumia mabilioni ambayo ni kazi ya serikali. Shirika hili ofisi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Makonda amewashinda nguvu wauza madawa ya kulevya na kila propanganda yao, juu yake imeshindwa vibaya. Wamejaribu kuzuia Makonda asiripotiwe na vyombo vya habari wakashindwa. Wamejaribu...
1 Reactions
Replies
Views
Nimeona kupitia Citizen Tv bajeti ya Kenya inasomwa leo.Au utamaduni wa pamoja uko kwenye kuhitimisha?Nijuzeni tafadhali.BTW bajeti ya Kenya ni zaidi ya Tsh 40 tririon vs Tsh 32 tririon bajeti ya...
0 Reactions
6 Replies
899 Views
  • Redirect
Ndugu wana JF kama mada inavyohusika katika somo tajwa hapo juu. Mheshimiwa Rais anasimamia UKWELI na kuongea UKWELI kila anapopata wasaa. Sisi watawaliwa tunampongeza kwa kusimamia UKWELI na...
1 Reactions
Replies
Views
Shughuli ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa wa Mch Christoper Mtikila zitafanyika leo katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Shughuli hiyo itaanza saa 4:00 asubuhi na...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimepewa taarifa toka Dodoma kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar, Ndugu Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda amejitokeza mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge. Nimeambiwa kuwa Makonda amekwenda huko...
20 Reactions
159 Replies
19K Views
Mwaka jana, niliwahi andika andiko lililomhusu hakimu ajulikanae kwa jina la RIYONI, kuwa mh hakimu huyu anakula rushwa, anaishi kama Mungu mtu huko Ifakara. Chanzo cha andiko langu kilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumekataa kuanzia saa moja mpaka saa 3 asubuhi maeneo ya Kibamba Kisa eti kuna msafara wa kiongozi anatoka Dodoma. Stupid kabsa. Watu wanakaa kwenye foleni kisa wewe Kiongozi mmoja. Kwanini...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Redirect
Leo (30 Machi 2017) mchana huu (around 1:15pm), RC wa Dar Ndg. Paulo C. Makonda ameongea na waandishi wa habari akiwa mjini Dodoma (alikokwenda kuhojiwa na ile kamati ya bunge) na kuwaelezea...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mbunge wa kilombero leo ameachiwa huru baada ya mahakama kuu kumwachia huru kwa kugundua kua hakua na makosa mahakam zetu zijitathmini
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom