Safari hii Bajeti za EA hazisomwi siku moja?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,075
164,394
Nimeona kupitia Citizen Tv bajeti ya Kenya inasomwa leo.Au utamaduni wa pamoja uko kwenye kuhitimisha?Nijuzeni tafadhali.BTW bajeti ya Kenya ni zaidi ya Tsh 40 tririon vs Tsh 32 tririon bajeti ya Tz, hii imekaaje?Yaani Kenya imetuacha hivyo?!!!
 
Ngoja waje wataalamu watakufafanulia
 
Nimeona kupitia Citizen Tv bajeti ya Kenya inasomwa leo.Au utamaduni wa pamoja uko kwenye kuhitimisha?Nijuzeni tafadhali.BTW bajeti ya Kenya ni zaidi ya Tsh 40 tririon vs Tsh 32 tririon bajeti ya Tz, hii imekaaje?Yaani Kenya imetuacha hivyo?!!!
Huenda ni mapendekezo ya bajeti tu na si bajeti kamili. Hata huku kwetu tumepewa mapendekezo ya bajeti tirioni 31.6
 
Budget mara zote hu-reflect uchumi, hao jamaa wametuacha, labda after 10yrs baada ya ujenzi wa viwanda.
 
Nadhani Bajeti Kuu Yaani Siku Ya Mwisho Huwa Zinasomwa Siku Moja Zote
 
Back
Top Bottom