sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,098
- 8,727
Mwaka jana, niliwahi andika andiko lililomhusu hakimu ajulikanae kwa jina la RIYONI, kuwa mh hakimu huyu anakula rushwa, anaishi kama Mungu mtu huko Ifakara. Chanzo cha andiko langu kilikuwa kitendo cha hakimu huyu kukazia hukumu ya kesi, dhidi ya mwanachama wa chama cha ushirika, iliyoamriwa kinyume kabisa na kanuni na sheria zinazoongoza ushirika nchini.
Nilienda mbali zaidi nikaonesha uboya wake, mh huyu kesi ilikuwa ya chama na mwanachama ila aliyeamua kesi hiyo aliifanya kuwa kesi ya mwanachama na viongozi wa chama ili kutengeneza mazingira ya vitisho na kwa hili walifanikiwa ila mpaka nilipofika mimi nilimnyoosha hakimu huyo na kubadili msingi mzima wa kesi kutoka kwa mwanachama na viongozi wa chama na kuwa kesi dhdi ya chama na mwanachama.
Mwisho wa kesi hii ambayo mh huyu alikuwa anakazia hukumu viongozi wauziwe mali zao, alikubali kufuta maamuzi hayo ambayo yalitoka milioni 3 mpka 12m kwa sababu ya kuweka chake cha juu. Mwisho tulirudi kwenye kesi ya msingi na yule bwana kulipwa kiasi halisi na kesi ikawa imeishia pale.
Sikitikio langu yule mshitaki alikuwa ameishatoa rushwa kubwa sana kwa hakimu huyu kwa hiyo alimbana hakimu arejeshe fedha alizopewa kama rushwa kwa kuwa hakimu hakuwa nazo, akamwambia mshitaki afungue kesi upya ya kudai gharama za kuendesha kesi.
Na kesi inaendelea mpaka hivi leo kwenye mahakama hiyo hiyo, cha ajabu hakimu huyo ndiye aliyemhukumu mh Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali na leo naambiwa mahakama imetengeua maamuzi hayo.
Sasa huyu anafaa kuwa Hakimu mfawidhi wa mahakama kama hiyo?