Dodoma: Bunge limenaswa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,136
17,871
Nimepewa taarifa toka Dodoma kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar, Ndugu Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda amejitokeza mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge. Nimeambiwa kuwa Makonda amekwenda huko akiitikia wito wa Bunge wa kutaka akajieleze kwa 'kulidharau'.

Mtoataarifa za kimaarifa kwa taifa anasema kuwa Makonda anajitokeza mbele ya Kamati iliyosheheni wana-CCM kindakindaki wanaofahamu msimamo wa Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli. Anaongeza kuwa Makonda anaonekana kujiamini na mtulivu.

Hatimaye, Bunge limenasa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda. Hatimaye, Bunge linaigiza kumhoji Makonda ikiwa ni wazi kabisa 'hawatamfanya kitu chochote' kwa muundo wa Kamati ulivyo; Bunge lilivyo-na wingi wa CCM pamoja msimamo wa na wakukabidhiwa kitakachoamuliwa juu ya Makonda.

Hatimaye, Bunge linachezeshwa ngoma iliyofanyiwa maandalizi ya kutosha na kutisha tangu huku Dar es Salaam. Makonda amekuja huko Dodoma kuizima hoja hiyo juu yake. Wajumbe wa Kamati ya Maadili hawatathubutu kwenda kinyume na chama na Mwenyekiti. Hakutakuwa na jipya.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

===============================
Kamati husika ni hii:

(i)
Mhe. Kapt(Mst), George H. Mkuchika, (Mb)
-
M/kiti
(ii)
Mhe. Almas Maige
(Mb)
-
Makamu Mwenyekiti
(iii)
Mhe. Rashid Ali Abdallah
(Mb)..............Mjumbe
(iv)
Mhe. Amina Nassoro
Makilagi
(Mb).......Mjumbe
(v)
M
he. Dkt. Christine G. Ishengoma
(Mb)......Mjumbe
(vi)
Mhe. Othman Omar Haji
(Mb)...............Mjumbe
(vii)
Mhe. Rose Kamili Suku
m
(Mb)..................Mjumbe
(viii)
Mhe. George Malima Lubeleje
(Mb).........Mjumbe
(ix)
Mhe. Dkt. Suleiman Ally Yussuf
(Mb)..........Mjumbe
20
(x)
Mhe. Susan Anselm L
yimo
(Mb) ...............Mjumbe
(xi)
Mhe. Tunza Issa Malapo
(Mb)..................Mjumbe
(xii)
Mhe. Asha Abdallah Juma
( Mb)......Mjumbe
(xiii)
Mhe. Augustino Manyanda Masele
(Mb)
......Mjumbe
(xiv)
Mhe. Innocent Sebba Bilakwate
(Mb)......
Mjumbe
(xv)
Mhe.
Emmanuel
Adamson Mwakasaka
(Mb) ...
Mjumbe
 
Wewe ulitakaje labda!!
Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu
Makonda yupo na ataendelea kuwepo
Tanzania bila nadawa inawezekana
Mnunuliwe msi nunuliwe mapambano yanaendelea.

Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
 
ka

kama Mungu anamakusudi na makonda mtaongea wewe mwisho wa sku 2020 hii hapa msagu ikuluuuuu
 
Bunge lipi la Tanzania au KENYA?!!
 
Wewe ulitakaje labda!!
Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu
Makonda yupo na ataendelea kuwepo
Tanzania bila nadawa inawezekana
Mnunuliwe msi nunuliwe mapambano yanaendelea.

Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
Makonda kafanya nini cha kipekee kwenye vita dhidi ya madawa ya kulevya?
 
Wewe ulitakaje labda!!
Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu
Makonda yupo na ataendelea kuwepo
Tanzania bila nadawa inawezekana
Mnunuliwe msi nunuliwe mapambano yanaendelea.

Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
Hakika..AMEN
 
Back
Top Bottom