Serikali ya CCM haina shukrani kwa shirika la World Vision

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,134
Shirika la kimataifa la world vision ambalo linashughulika na misaada ya ustawi wa mtoto linafanya kazi mikoa 13 tanzania na linatumia mabilioni ambayo ni kazi ya serikali.

Shirika hili ofisi zake zipo arusha eneo la njiro nyuma ya chuo cha uhasibu kama km 2 kutoka barabara ya lami,cha kushangaza njia ya kuingia huko ni mahandaki matupu.serikali ya mkoa na kuu zimeshindwa kuonyesha shukrani kwa kuweka kipande cha lami cha 800 mil ukizingatia sera ya hilo shirika sio kujenga barabara?

Kuweni na aibu jamani,juzi nilikuwa nafuatilia katenda pale na kabaloon kangu kakaingia kwenye shimo na kuchomoka ball joint na tenda nikaikosa.
cc Pinda, Magufuli, Mulongo,nk.
 
Serikali ni ya ajab sana, kuna wilya moja mkoa wa sasa wa Simiyu World Vision wamejenga vyumba vya madarasa 71, bwawa kubwa kwa gharama ya milioni 700, hospitali kubwa mil 800 kwa sasa ndio hospitali ya wilaya mpya ya Itilima, world vision wakaiomba serkali isambaze maji ya bwawa pale hospitali na vijiji vinavozunguka bwawa hilo na pia wapeleke umeme kwenye hospitali hiyo, lakini serikali haijafanya hayo eti mh Cheyo watampa nguvu ya upinzani. Serikali hii ni ya ajab kuliko maelezo ya kawaida..

Shirika la kimataifa la world vision ambalo linashughulika na misaada ya ustawi wa mtoto linafanya kazi mikoa 13 tanzania na linatumia mabilioni ambayo ni kazi ya serikali.
shirika hili ofisi zake zipo arusha eneo la njiro nyuma ya chuo cha uhasibu kama km 2 kutoka barabara ya lami,cha kushangaza njia ya kuingia huko ni mahandaki matupu.serikali ya mkoa na kuu zimeshindwa kuonyesha shukrani kwa kuweka kipande cha lami cha 800 mil ukizingatia sera ya hilo shirika sio kujenga barabara?
kuweni na aibu jamani,juzi nilikuwa nafuatilia katenda pale na kabaloon kangu kakaingia kwenye shimo na kuchomoka ball joint na tenda nikaikosa.
cc pinda,magufuli,mulongo,nk.
 
Hili la cheyo siyo kweli labda kama unaajenda yako na cheyo.
 
Usilete siasa hapa, nasema nikiwa mtendaji na sio mwanasiasa, kaangalie Kata ya Nkoma then ukome na siasa za CCM zisizo na maana, harafu usiwe mbishi kama wahutu, ulikuwepo Rais alipofungua hilo bwawa? What happened? Ulikuwepo Mizengo pinda alipofungua hiyo hospitali?..sio kila jambo ni siasa, Simiyu gani wewe

Hili la cheyo siyo kweli labda kama unaajenda yako na cheyo.
 
Shirika la kimataifa la world vision ambalo linashughulika na misaada ya ustawi wa mtoto linafanya kazi mikoa 13 tanzania na linatumia mabilioni ambayo ni kazi ya serikali.
shirika hili ofisi zake zipo arusha eneo la njiro nyuma ya chuo cha uhasibu kama km 2 kutoka barabara ya lami,cha kushangaza njia ya kuingia huko ni mahandaki matupu.serikali ya mkoa na kuu zimeshindwa kuonyesha shukrani kwa kuweka kipande cha lami cha 800 mil ukizingatia sera ya hilo shirika sio kujenga barabara?
kuweni na aibu jamani,juzi nilikuwa nafuatilia katenda pale na kabaloon kangu kakaingia kwenye shimo na kuchomoka ball joint na tenda nikaikosa.
cc pinda,magufuli,mulongo,nk.

hilo shirika ni la kijinga sana,lipo pale siyo kwa faida ya watanzania waliowengi bali mabwanyenye wachache wanaotumia kivuli cha dini kujinufaisha.Ni mafisadi na wana roho mbaya kama ya shetani,sasa nakushangaa wewe mleta mada kubwekabweka ovyo! Unataka serikali iwasifie kwa lipi? Wafadhili wamekubali hela zao ziliwe na wanaleta kila uchwao,acha watu wale na serikali haina lawama wala sababu ya kusifia wala kushutumu sana kama wewe unavyohangaika kama kuku anayetaka kutaga
 
hiyo world vision ni kichaka cha wezi wanajidai watu wa dini lakini hamna lolote hao ni chui waliovaa ngozi ya kondoo,misaada inakuja lakini wanapiga pasupasu,nusu inaenda kwenye miradi nusu inaingia kwenye matumbo yao.
 
hilo shirika ni la kijinga sana,lipo pale siyo kwa faida ya watanzania waliowengi bali mabwanyenye wachache wanaotumia kivuli cha dini kujinufaisha.Ni mafisadi na wana roho mbaya kama ya shetani,sasa nakushangaa wewe mleta mada kubwekabweka ovyo! Unataka serikali iwasifie kwa lipi? Wafadhili wamekubali hela zao ziliwe na wanaleta kila uchwao,acha watu wale na serikali haina lawama wala sababu ya kusifia wala kushutumu sana kama wewe unavyohangaika kama kuku anayetaka kutaga
wenda wazimu kazi ya world vision unaigeuza siasa jamvi linaingiliwa na wajinga kama wewe
 
mimi nimewahi fanya kazi world vision na wala huwezi niambia kitu kiroboto wewe.Watu wajitajirisha kupitia migongo ya watu masikini halafu wewe unatuharishia hapa,world vision naijua vizuri sana zaidi yako wewe kobe na ninatoka eneo ambalo mradi wao upo,hakuna lolote ni wapuuzi tu na tena serikali ingewafukuza tu,shenzi kweli
 
Yeah !!nakupa mia coz nafanya huko til now ....mapendekezo yangu kwa serikali ni kwamba shirika hili lifungwe au liwe linafanyiwa auditing na serikali !!mabilion yanaishia ktk semina hewa na zisizo na tija then wanatumia mwavuli wa dini kujiita wapendwa ktk bwana ......wafanyakaz wake wanasifika kwa ulevi ,uzinzi na matumiz mabaya ya fedha !!!!shame on you world vision !!!!!!
 
Back
Top Bottom