real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Taarifa hii ililetwa na member anayeitwa R.B kupitia uzi huu NHIF hoi, watunga muswada kuinusuru. Mashirika makubwa kujiunga kwa lazima (IMEKANUSHWA)
Taarifa hii ililetwa na member anayeitwa R.B kupitia uzi huu NHIF hoi, watunga muswada kuinusuru. Mashirika makubwa kujiunga kwa lazima (IMEKANUSHWA)
View attachment 488712
Hata mie kama ningekua ndo mtendaji wa hospitali, lazima nianze na cash in hand kwanza ndipo nikuwazie wewe wa bima. Kwa sababu wa cash anaweza kwenda pengine kama atachelewa nami nikakosa kipato. Money speaks louderNHIF ni ovyo sana, unaenda kutibiwa unaandikawa madawa ukajinunulie , alafu mwenye pesa mkononi ndo anatanguliwa kuhudumia kuliko mwenye bima
SIJUI KAMA WANA ATA OFISI ZA KANDA AU MIKOA AU WILAYA AU KUWA NA MWAKILISHI;Natafuta ofic zao hapa Dar,,iko wapi?
Mara ya mwisho walikuwa Kurasini wameshahama huko sijui?!Natafuta ofic zao hapa Dar,,iko wapi?
Natafuta ofic zao hapa Dar,,iko wapi?
hivi hawa watu huwa wako wapi/ nilipoteza kadi yangu miaka mitatu saa sijui ofisi zao zilipo, kadi hii niliipata viwanja vya saba saba, siku hiyo huduma fasta lakini maofisini ni ovyo kabisa.
hivi hawa watu huwa wako wapi/ nilipoteza kadi yangu miaka mitatu saa sijui ofisi zao zilipo, kadi hii niliipata viwanja vya saba saba, siku hiyo huduma fasta lakini maofisini ni ovyo kabisa.
BandarinNatafuta ofic zao hapa Dar,,iko wapi?
Mbona jamani tunakuwa wasanii hivyo? Huku kwetu mbona wametenganisha vyumba vya kuhudumia wenye cash na wenye bima jamani au wenzetu mnatokeaga wapi? Mimi juzi nimeenda huduma kwa kweli zilikuwa nzuri kabisa wala sikucheleweshwa kwa namna yoyote!NHIF ni ovyo sana, unaenda kutibiwa unaandikawa madawa ukajinunulie , alafu mwenye pesa mkononi ndo anatanguliwa kuhudumia kuliko mwenye bima