YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Chadema kwa sasa ni chama cha kudakia dakia tu matukio. Mimi kama mlipa kodi ambayo inachangia kwenye ruzuku wanayopewa Chadema sipati thamani au value for money ya pesa yangu. Chama kinatakiwa kurudi kwenye misingi. vijana wameshika chama wanakiendesha kama gari la mlevi huelewi mkipishana litakuja kulia au kushoto mtaroni. Mzee ndesamburo saidia Chadema