Baada ya Makonda kuhojiwa, watuhumiwa wa madawa ya kulevya nao wahojiwe

wauza Ngada Mwafaa

Senior Member
Mar 25, 2017
158
224
Baada ya kumhoji Makonda kutokana na tuhuma za kutoeshimu bunge.
Basi ni bora bunge likawahoji watuhumiwa wa dawa ili waweze kuueleza uma kama ni kweli wanauza madawa au siyo kweli.
 
kha! hata kama ni kiki, wenzako hawatafuti kwa staili hii... kwa uelewa wako, wajua bunge huwa linahoji watu wenye makosa gani??? au hujui hata makonda anahojiwa kwa sababu zipi??? uwe unatafakari kabla ya kuandika uzi.. uwe hata unamuuliza jirani yako, icho ambacho utakiandika humu.
Once you are Bashite, Always Bashite
 
Kama post zenyewe ndio hizi naomba na mimi uniunganishe kwa huyo jamaa anayewalipa buku saba niwe napost.
 
Back
Top Bottom