The retired soldier
Senior Member
- Feb 26, 2017
- 104
- 218
Tumekataa kuanzia saa moja mpaka saa 3 asubuhi maeneo ya Kibamba Kisa eti kuna msafara wa kiongozi anatoka Dodoma. Stupid kabsa. Watu wanakaa kwenye foleni kisa wewe Kiongozi mmoja. Kwanini usitumie Ndege kurahisisha shughuli za wengine. Kwanza ndege ni cheap kwa gharama na security.
Mnatumia magari gharama tu. Mnajua njia ni moja alafu mnataka na nyie mnatumia hiyo hiyo. Kuongozwa na Upeo mdogo shida sana. Kuna kiongozi anatoka Dodoma tunamsubiri mpaka apite. Upuuzi sana.
Mnatumia magari gharama tu. Mnajua njia ni moja alafu mnataka na nyie mnatumia hiyo hiyo. Kuongozwa na Upeo mdogo shida sana. Kuna kiongozi anatoka Dodoma tunamsubiri mpaka apite. Upuuzi sana.