Transit export minerals are stopped from shipment

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
Port / TRA is going bonkers, now also transit export minerals are stopped from shipment.

( as received )

Kindly be notified that we have received instruction from Tanzania Revenue Authority(TRA) to stop Shipments of all Mineral related products those already received in the Terminal. All Minerals products shipments both Local and Transit As per the instruction should not be loaded until further notice from TRA.

In the Terminal already we have stopped more than 200 Containers with various minerals to be loaded on vessels alongside and those due to berth with their cargo ready in the Terminal. In order to avoid further congestion of the Terminal we also asked TRA to extend the stop order on shipments when processing Release documents in order same cannot be delivered to the Port before TRA instructions. According to TRA the stop order has also been extended in their release process.

TICTS also will not continue processing Export Documentation, Invoicing, Billing and accepting for fresh documents to receive Export Containers until we obtain clearance from TRA on the way forward in order that we reduce the number of containers to be on hold in the Port causing congestion.

We have decided to inform all stakeholders to be aware of the situation

With Regards
 
Mmmmh,, kweli Kiingereza kwa nchi yetu ni janga la kitaifa! Hii press release ilivyoandikwa hadi kichefuchefu!! Ila hili serikali wakati mwingine linafanya vitu vya kinyoko sana utafikri hakuna wasomi huko juu!!
 
Kama kweli Magufuli ana nia ya dhati ku-deal na hii challenge ya madini, kwanza aanze na mikataba mibovu. Aweke kwanza mikataba yote ya madini mezani. Tuangalie tulikosea wapi. Kiukweli hawa wawekezaji hata kama wanatuibia..ni sisi wenyewe tuliwapa huo mwanya kwa kuingia mikataba mibovu na ya siri! Kuanzia Mkapa akaja kupigilia msumari JK!

Sometime hata kama tunamlaumu Magufuli..ila lazima tujue kabisa mbaya wetu si Magufuli ni watangulizi wake. I really feel sad for my country. We are trying to stand up for our own country and resources but on the other hand tumefungwa mikono na maamuzi ya hovyo ya viongozi wetu walioliibia taifa kama vile wao na familia zao wanahama nchi.

Bado naamini hii mikataba ya kifisadi ipo siku itakuja kuwarudi walioisaini kwa niaba ya hawa waTanzania maskini.

Now here we are. Hebu Ngosha funga milango na madirisha tuelezane tulifikaje hapa!

Hili sakata naona likiondoka na wengi aisee. Especially Mwanasheria Mkuu wa serikali. Kondoo wa Kafara watakuwa wengi. No doubt.
 
Hatari kubwa ni fidia watayodai ikija kubainika kwamba wanachofanya ni kwa mujibu wa mktaba. Binafsi nafikiri review ingefanyika huku each part kwenye mkataba wakitekeleza wajibu wao....hiz haraka bila shaka zinamashaka makubwa sana.
 
Kama kweli Magufuli ana nia ya dhati ku-deal na hii challenge ya madini, kwanza aanze na mikataba mibovu. Aweke kwanza mikataba yote ya madini mezani. Tuangalie tulikosea wapi. Kiukweli hawa wawekezaji hata kama wanatuibia..ni sisi wenyewe tuliwapa huo mwanya kwa kuingia mikataba mibovu na ya siri! Kuanzia Mkapa akaja kupigilia msumari JK!

Sometime hata kama tunamlaumu Magufuli..ila lazima tujue kabisa mbaya wetu si Magufuli ni watangulizi wake. I really feel sad for my country. We are trying to stand up for our own country and resources but on the other hand tumefungwa mikono na maamuzi ya hovyo ya viongozi wetu walioliibia taifa kama vile wao na familia zao wanahama nchi.

Bado naamini hii mikataba ya kifisadi ipo siku itakuja kuwarudi walioisaini kwa niaba ya hawa waTanzania maskini.

Now here we are. Hebu Ngosha funga milango na madirisha tuelezane tulifikaje hapa!

Hili sakata naona likiondoka na wengi aisee. Especially Mwanasheria Mkuu wa serikali. Kondoo wa Kafara watakuwa wengi. No doubt.
Mkuu mikataba alishapitia tangu januari na haina tatizo, shida iko huko serikalini, tangazo liko sahihi kuwa tra watakagua nyaraka kwanza jambo ambalo nila msingi haiwezekani mzigo ukawa unasepa tu pasipple tra kujua nini na kinakwenda wapi hapo MEM imeshapigwa hela ndefu sana.
 
Mkuu hii ngoma bado mbichi sana. Investors rely on these so called contracts. Lakini ninachokiona Tanzania inaingia kwenye makundi ya mataifa ambayo yako tayari kuvunja mikataba na makampuni makubwa pale kama taifa linaona linaibiwa kwa mikataba ya kifisadi. Hebu tusubiri tuone.

Ndo maana nimesema kama ningekuwa mwanasheria wa serikali, ningekuwa tayari natafuta kazi nyingine. Hayuko salama.
 
Mkuu mikataba alishapitia tangu januari na haina tatizo, shida iko huko serikalini, tangazo liko sahihi kuwa tra watakagua nyaraka kwanza jambo ambalo nila msingi haiwezekani mzigo ukawa unasepa tu pasipple tra kujua nini na kinakwenda wapi hapo MEM imeshapigwa hela ndefu sana.
mkuu naona ukweli unawekwa kando. TRA lazima ahakikishe hicho kinachosafiri kabla hata hakijatoka migodini. na hadi linafika hapo kodi/Royality wameshachukua. Labda kama TRA ziko mbili Tanzania. Unaweza tembelea popote hayo makontena yalipo utaona Seals zao. Na naamini PM kajionea live, TRA,TMAA,WIZARA(MEM) wote wako pale kabla mzigo haujasepa na kama wanamashaka yoyote wanauliza na wako huru kuingia popote. Nimewahi kupita maeneo hayo naongea from life experience, Naipongeza serikali kwa kutaka kujua hali halisi wenda wakaibuka na kitu bora zaidi

Nadhani dhumuni la Hiyo barua ni kuwepo kwa Official statement ya Zuio kutoka TRA maana wao pia kama taasisi wananafasi yao.
 
Njia pekee ni Rais wetu ambae ninahisi anauthubutu mkubwa kufumua mikataba yote, hapo atakuwa shujaa wa karine. Vinginevyo hakuna la maana, Zambia wana shaba tu na wanaishi vizuri kuliko Tz yetu, mikataba yao iko vizuri. Hata tukizidi vumbua madini zaidi, kwa ujinga tulionao wa mikataba haitusaidii. Rais hana sababu ya kuongea mpaka mishipa inamtoka, apige tu chini mikataba, tutampenda daima.
 
Hatua nzuri. Wametuibia vya kutosha. Sasa tumewashtukia
Sasa tutashitaki mahakama gani ili turudishiwe walichotuibia? Angalizo, tusije kuamriwa na mahakama zao kuwalipa fidia wezi waliotuibia vya kutosha! Mimi nitakulaani mpaka siku ya kuingia kaburini.
 
Njia pekee ni Rais wetu ambae ninahisi anauthubutu mkubwa kufumua mikataba yote, hapo atakuwa shujaa wa karine. Vinginevyo hakuna la maana, Zambia wana shaba tu na wanaishi vizuri kuliko Tz yetu, mikataba yao iko vizuri. Hata tukizidi vumbua madini zaidi, kwa ujinga tulionao wa mikataba haitusaidii. Rais hana sababu ya kuongea mpaka mishipa inamtoka, apige tu chini mikataba, tutampenda daima.
mkuu uko zambia ipi? mie naishi Lusaka hali ni mbaya, machinga wanafunga barabara kuuza mitumba na mbogamboga Zambia ya sasa sio ile ya Kaunda bei ya mkate ikipanda nchi nzima inaandamana. Makahaba ndio usiseme wanauza hadi kwa mkopo.
 
Wingi wa madini tuliyonao hatufaidiki sababu ni mikataba. Usipende kukalili kuwa broadminded , tumsaidie Rais.
 
[QUOTE="Lizaboni, post: 20403430, member: hatua nzuri. Wametuibia vya kutosha. Sasa tumewashtukia[/QUOTE]
Akina nani waliotuibia. Hapo siyo kwamba tumeibuwa bali tumejiibia wenyewe. Hakuna mwekezaji anayejipangia kodi, hakuna mwekezaji anayesaini mkataba pande zote. Mara nyingi nauliza mbona mikataba haiwekwi hadharani kabla ya kusainiwa?
Mwekezaji siye mkaguzi pale bandarani. Leo hadi transit zinazuiwa una sema wamezidi kutuibia. Mikataba msaini nyie, ruhusa mtoe nyie kisha mlalamike mmeibiwa.

Kutetea ujinga unatakiwa kuwa na phd
 
Back
Top Bottom