illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Tumeona vituko vingi katika kipindi hiki kifupi tangu mh wa awamu ya tano aingie madarakani kitendo cha aliyekuwa waziri wa habari kuenguliwa katika wadhifa wake kumefanya wapinzani wajiunge kuomboleza naye ila nikimnukuu nakumbuka alisema hatohama CCM naona hatari ya wafuasi wengi wakimfuata nape (CCM) ambapo kwa akili fupi watamini kuwa wanamkomesha bana kubwa wasijue kuwa wanazidi kuongeza wanachama CCM.
Sasa hivi chama kikuu cha upinzani bara kimesahau mikutano yake ya ndani ya kuimarisha chama badala yake wako busy na bashite mara uvamizi redioni mara nape kuenguliwa hiyo moja, mbili ni kwamba kwa miradi inayoendelea kwa fedha zilizomwaga na rais wa benki ya dunia kama zitafanya kweli malengo yaliyokusudiwa Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi ie standard gauge ikikamilika fly over ya tazara, ubongo na ya coco beach zikikamilika, makazi holela yakirasimishwa yalipe kodi ambauo ni zaidi ya asilimia 80.
Uchumi wa nchi haupimwi kwa idadi ya dawa hosipitali au idadi ya matajiri ndiyo maana hata nchi kama marekani ambayo ni super power inatoa misaada karibu dunia nzima ila bado kuna omba omba. Hawa jamaa wametuzidi akili na maarifa. Kwa kweli.