Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Wadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo: 1. Hana Uchama bali uchapakazi tu. 2. Ni mzalendo 3. Hana ujomba wala ubabu kwenye kazi 4. Ana lengo moja...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naona chama Kiko kimya kukanusha shutuma juu ya mwenyekiti kuhusu Ile audio dhidi ya wema sepetiu.. Kimya maana yake nini? Au Kuna kaukweli ndani yake? Kama ni Kweli basi mbowe awajibishwe. Na...
0 Reactions
Replies
Views
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye tai nyekundu) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa zoezi la usambazaji wa vifaa vya maabara na vifaa vya wanafunzi wenye mahitaji maalum mapema...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
[/IMG] Rais Gloria Macapagal-Arroyo wa Philippines akipeana mkono na Mh. Balozi Abdul Cisco Mtiro baada ya kukabidi hati zake za utambulisho kama Balozi wa Tanzania ambaye anawakilisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Redirect
Nimekua nikifuatilia sana mauaji yanayotokea mkoa wa Pwani kwa ndugu zetu nakuona hili tatizo limekua likikua siku baada ya siku licha ya ulinzi na usalama ambao tunaambiwa kua umeimarishwa mkoani...
0 Reactions
Replies
Views
Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini...
5 Reactions
85 Replies
6K Views
Nimeona teuzi za Kitila na Anna zikizua mijadala kana kwamba hili ni jambo geni. Ikumbukwe wakati wa uchaguzi Chadema walimuazima mzee Juma Duni Haji ili kufanikisha malengo yao ya kisiasa...
1 Reactions
8 Replies
879 Views
  • Redirect
Askari mgambo auawa Kibiti Watu wa karibu katika eneo hilo wamesema marehemu huyo aliyekuwa askari mgambo alipigwa risasi tatu akiwa uvunguni mwa kitanda alikokuwa amejificha. Soma zaidi: Askari...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
ACT-Wazalendo Kwafukuta, Wamtaka Anna Mghirwa Kukataa Uteuzi..!!! Hali ya sintofahamu imekikumba chama cha ACT-Wazalendo baada ya Mwenyekiti wa chama hicho kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
Replies
Views
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Ally Keissy Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy amependekea kuwapo na sheria ya kuwapima wabunge matumizi ya dawa za kulevya ili kuepukana na ukorofi...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Mbunge wa Muleba Anna Tibaijuka ametoa onyo kwa watu wanaopotosha kauli yake na kukata vipande vifupi vya video na kuharibu maana ya aliyokuwa anamaanisha kwa mchango wake bungeni Amesema kufanya...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Nina rafiki yangu ambaye amekuwa akilalamika kwa miaka mingi kuuliwa kwa Wakala wa meli Tanzania yaani National Shipping Agency Company au NASACO. Ukimsikiliza Mkinga kwenye hizi Video...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Habari zenu wanajukwaa. Hili andiko ilibidi nilipeleke jukwaa la elimu ila ni vyema lijadiliwe hapa kwa kuwa huyu anayeivuruga elimu ni mwana siasa. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu niliyeadiliwa...
50 Reactions
229 Replies
17K Views
Kama ulidhani sakata la ubunge kyela limemalizika basi futa mawazo hayo , taarifa kutoka kyela zinabainisha kwamba mgombea wa UKAWA Mh Abraham Mwanyamaki anaelekea mahakamani kupinga ubunge wa...
0 Reactions
113 Replies
13K Views
  • Redirect
Ni ishara tosha kwamba huyu Mama yuko vizuri na ni moja kati ya hazina kubwa sana kwa nchi yetu, kwa maana ni kama vile watu (chadema, CUF -Mtatiro &Co.) wamechanganyikiwa na hawajielewi tena...
0 Reactions
Replies
Views
Ki msingi ukitizama siasa zetu zilivyokuwa zikienda unaweza kuona wazi kuwa kuwa taifa limejaa wanasiasa au viongozi wa mitaani. mwanasiasa au kiongozi wa mitaani ni yule mtu anayejilea mwenyewe...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
*Muhidin Issa Michuzi amlilia Balozi Abdulkarim Omar Cisco Mtiro* Hebu jaribu kulielezea jiji la Dar, au la Arusha, ama la Mwanza, Mbeya ama jiji lolote lile, tena kwa kutumia ukurasa mmoja tu...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Tulitaka kumwaga baba yetu kwenye uwanja wa mashujaa kwa kuwa huyu ni shujaa wetu nikafanya juhudi mpaka kuongea na Waziri mkuu majaliwa akaniambia anashughulikia lakini mpaka ninapoongea...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
71.-(1) Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake katika Bunge litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo - (a) ikiwa litatokea jambo lolote ambalo, kama asingekuwa Mbunge lingemfanya asiwe...
4 Reactions
75 Replies
9K Views
Wakati tunasubiria repoti ya Mh Nape, tujikumbushe busara za JK kidogo. Hii ilikuwa wakati wa Sakata la IPTL/Escrow .
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Back
Top Bottom