Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Nimeona teuzi za Kitila na Anna zikizua mijadala kana kwamba hili ni jambo geni. Ikumbukwe wakati wa uchaguzi Chadema walimuazima mzee Juma Duni Haji ili kufanikisha malengo yao ya kisiasa.
Japokuwa walitumia mwamvuli wa muungano usiotambulika kisheria uitwao UKAWA, lkn ukweli unabaki palepale kwamba Chadema kama chama ndio waliowania nafasi ya urais.
Je, mzee Duni aliinadi ilani IPI na endapo Lowasa angebahatika kushinda mzee Duni angeenda kutekeleza ilani IPI? Karibu tufahamishane.