Mbowe: Serikali kuzuia tusitumie uwanja wa Mashujaa ni uonevu

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,195
2,000
Tulitaka kumwaga baba yetu kwenye uwanja wa mashujaa kwa kuwa huyu ni shujaa wetu nikafanya juhudi mpaka kuongea na Waziri mkuu majaliwa akaniambia anashughulikia lakini mpaka ninapoongea sijajibiwa

Mbowe alinukuliwa akisema kuna uonevu usiovumilika wanaofanyiwa wananchi wa Arusha na Kilimanjaro na watu wanaogopa kusema lakini yeye atasema wazi hivyo kuwataka rais magufuli na majaliwa kuelewa wananchi wa Arusha na Kilimanjaro ni sehemu ya Tanzania na wataendelea kuipigania haki yao hiyo

Mbowe alisema haipendezi watanzania kubaguana kwa namna yoyote ile huku akidai watu huogopa hata kujitambulisha kwa koo zao kama Mushi Masawe au Tarimo na majina mengine ya kichaga kwa kuwa hawana uhakika watawala watawafanya nini
Aliwalaumu police kwa kuwanyima matarumbeta na chuo cha police moshi na kuzuiwa kutumia baadhi ya barabara kwa sababu zisizokuwa na mashiko

Tulitaka tumsindikize mzee wetu kwa matarumbeta tukaenda kukodisha CCP kwa sh/300,000 majibu waliyonipa ni kwamba niongee na IGP sirro wakati hii bendi hukodishwa mpaka kwenye maharusi leo naambiwa niongee na IGP!!?Chanzo Tanzania daima
 

Miss Madeko

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
3,688
2,000
So Sad aisee khaa na kweli hiyo bendi huwa inakodishwa hata kwny mahrusi kweli kua uyaone
 

jozzeva

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
2,201
2,000
Kaskazini nao wapumue hawamu hii..kila shetani na mbuyu wake.
 

GEBA2013

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
3,758
2,000
Vp Mtwara Na Lindi Vp Kigoma Vp Sumbawanga?Mbowe Aaache Kulialia,tatizo Lipo Kwa Maeneo Ya Upinzani Serikali Inawakandamiza Hlo Haingali Kina Mangi
 

Yamakagashi

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
8,682
2,000
Walienda mwaka gani?
Vita ya MajiMaji ilikuwa mwaka gani?
Naona kiki imehamia kwenye ukabila sasa
Unataka kuleta ligi sio? Kanisome tena acha kukurupuka ndio maana mnasaini mikataba ya kipumbavu kwa kukurupuka badala yake mnahangaika na mchanga na dhahabu inabebwa juu kwa juu.... Kwani tunaposema baba wa taifa katuletea uhuru maana yake ni kwamba vita vya majimaji havikuwepo?
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
8,933
2,000
Acheni kulialia. Tanzania ni ya Watanzania wote. Mbona mikoa mingine imeonewa na iko nyuma sana kimaendeleo lakini wanavumilia! Tujifunze kuwa wastaarabu na ustaamilivu. Huwezi kupata kila unachotaka pale unapohitaji.
Ukabila anao magu. Kama wengine wameonewa wakakaa kimya ujue wameridhika. Magu na ccm ni wakabila hilo halina siri maana wanakampeni ya wazi wazi ya kubagua watu wa kaskazini
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
8,933
2,000
mliwekeana Umeme mpaka migombani wakina sie hatukuwa na Umeme mpaka rea ndo imetukomboa, kaskazini ndo wabaguzi wa kwanza. kwa kuwa mmeanza kusema acheni ukweli usemwe
Wakati huo nyie si mlikuwa mnaongeza wanawake na kucheza ngoma. Kupanga ni kuchagua
 

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
2,720
2,000
Magu PHD feki

Viongozi wake 3/4 feki feki

Sirro yuko uchunguzini

Unategemea nini hapo

Wachaga pigeni kazi nyie ndio Tz na Tz ndio nyie japo anafikiri atasambaza wasukuma kila pembe tatizo hawana elimu ni feki feki wengi
 

Oxx

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
730
1,000
mliwekeana Umeme mpaka migombani wakina sie hatukuwa na Umeme mpaka rea ndo imetukomboa, kaskazini ndo wabaguzi wa kwanza. kwa kuwa mmeanza kusema acheni ukweli usemwe
Kipind hicho tayari kulikua na mijengo yanayoitaji umeme, vile vile pia kulikua na uhitaj wa umeme na watu wenye uwezo wa kulipia umeme.....

Umeme wa Rea kuna vijiji nguzo zimepita ila watu wakuvuta amna....

Na bahati ni Luku ila ila ingekua ni bill ingekua ni hasara kufwatilia watu wawil au watatu......
 
May 5, 2017
46
125
makubwa ...kwani alikuwa shujaa wa nini huyo marehemu?...samahani lakini? na je arusha na kilimanjaro nzima maturumbeta yako polisi tu? na je watu wa kaskazini tuu ndio wanaobaguliwa? ina maana chadema haina wanachama wenye maturumbeta? sasa kama mmegundua kama mnaonewa hii siyo opportunity ya kujenga na kumiliki vitu vyenu wenyewe ili muachane na hii adha ya ubaguzi...just saying
 

Umslopagazi

JF-Expert Member
May 16, 2013
1,372
1,500
Acheni kulialia. Tanzania ni ya Watanzania wote. Mbona mikoa mingine imeonewa na iko nyuma sana kimaendeleo lakini wanavumilia! Tujifunze kuwa wastaarabu na ustaamilivu. Huwezi kupata kila unachotaka pale unapohitaji.
Watembelee Lindi waone, kama wao wangeweza kuishi katika mazingira hayo.
 

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
24,121
2,000
Nimemsikia Mbowe jana kaongea pumba tupu za kutafuta kiki misibani
Kulialia mbele ya waombolezaji kwamba mnaonewa na serikali,alichokuwa akifanya Mbowe ni kujaribu kueneza fitna na chuki tu,pale hapakuwa sehemu sahihi.
Kwa upuuzi huu wanaopenda kuufanya chadema,hayo maziko yangekuwa Arusha Ndesamburo angezikwa na watu wasiozidi 100
 

TOFU

JF-Expert Member
Aug 26, 2012
574
250
Lazima ichukie Arusha na Kilimanjaro maana tangu na tangu Ccm pale huwa inaambulia patupu alaf kwa maendeleo ndio usiseme; Bara bara nzuri mpaka migombani ndani kabisaaa...
Umeme ndio usiseme...
Ukitaka kuamini kaa maeneo ya TPC kiwandani mida ya usiku alaf uone taa zinavyomeremeta Pembe zote za Mlima Kilimanjaro...
Haha Ni Hatari...
Wanachopigania kwa sasa ni kutengenezewa vile vibara bara vyakuingia nyumbani kwao..!!
 

kopites

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
5,712
2,000
Acheni kubagua bana mbona kikwete hakuwa hivo?nyie nani kawaloga
 

lemutunguz

Member
Nov 15, 2016
51
125
mliwekeana Umeme mpaka migombani wakina sie hatukuwa na Umeme mpaka rea ndo imetukomboa, kaskazini ndo wabaguzi wa kwanza. kwa kuwa mmeanza kusema acheni ukweli usemwe
Wivu wa kike, waliwekewa au waliweka kwa pesa zao na kujali umuhimu wa sovial service, ukipata zako kaa unaoa mke wa nne alagu jidanganye na rea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom