Balozi Sisco akabidhi hati zake

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Sisco-1.jpg
[/IMG]


Rais Gloria Macapagal-Arroyo wa Philippines akipeana mkono na Mh. Balozi Abdul Cisco Mtiro baada ya kukabidi hati zake za utambulisho kama Balozi wa Tanzania ambaye anawakilisha Philippines katika Ikulu ya Phillipines hivi karibuni. Balozi Cisco pia anawakilisha Malaysia, Singapore, Laos, Cambodia na Philippines akiwa na Ofisi Nchini Malaysia.

huyu alitakiwa apelekwa Brazil akatuwakilishe zaidi kule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom