Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

"Madini sio nyanya kwamba yataoza wayaache kwa ajili ya kizazi kijacho" J.K Nyerere... Hii ni moja ya kauli inayoishi kutoka kwa Mwalimu Nyerere. Alimaanisha nini? 1: Watanzania Tusomee Sheria...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Mtakumbuka kijana huyu alivyokuwa na heshma kwa jamii ya watanzania.Gafla akataka kukusaliti chama chake CDM"Enzi hizo kwa maslahi yake binafsi na Ccm Kutokana na umakini wa mwenyekiti Mbowe na...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
  • Redirect
Kwanza nitoe pongezi kwa mheshimiwa rais wa nchi kwa kuamua kufanya kazi na wapinzani, hii italeta mabadiliko walau kidemokrasia kisiasa kiuchumi nk Baada ya Prof Muhongo kutumbuliwa na Magufuli...
0 Reactions
Replies
Views
HOTUBA ya Bajeti ya Serikali pamoja na taarifa ya Hali ya Uchumi ya mwaka 2017/18 inasomwa Alhamisi wiki hii bungeni mjini hapa, huku ikitarajiwa kujikita katika maeneo makuu saba. Ratiba ya...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Baada kushindwa na mbinu ya madawa ya kulevya dhidi ya mwenyekiti leo mafisadi yameleta uzushi mwingine ili kumtoa kiongozi wa KUB kwenye reli, majifisadi haya pia kama mnakumbuka yalimjaribu...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
  • Redirect
Mwl Nyerere ni baba wa taifa na ni mtu anayeheshimika mno Afrika na duniani kote kutokana na kujitolea kwake kuwatetea watu wote bila kujali rangi na makabila yao. Kutokana na heshima hiyo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari, nina muda sijaandika sababu ya kushughulishwa zaidi na utungaji wa mashairi kuliko siasa, na nimekuwa nikitunga mashairi yenye maudhui ya kisiasa kama nikitaka kuzungumzia siasa. Ila baada...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tayari ACT-Wazalendo wameshatoa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji. Ni Prof. Kitila Mkumbo. Tena,ACT-Wazalendo wametoa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,tena Mwenyekiti wa chama hicho,Anna...
5 Reactions
Replies
Views
Kutokana matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii nimeanza kukubari upitiswaji Wa ile sharia inayowabana kwa nguvu zote watumiaji Wa mitandao ya kijamii. Hii ni kutokana na ukweli kuwa wapo watu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Dodoma ni mji ambao mpaka leo umejaa daladala aina ya HIACE.Usafiri huu kwa Dodoma umepitwa na wakatiki.Na huwaletea adha wananchi, kwani hujaza watu wengi na hivyo kuhatarisha maisha ya...
0 Reactions
4 Replies
659 Views
Published on 4 Jun 2017 Chama cha ACT Wazalendo kilifanya Kongamano kuhusu Rasilimali Madini ambalo lilifanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa DSM kujadili masuala yanayohusu madini likiwemo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Siku kadhaa zilizopita tulishuhudia mtu anayesemekana kuchora nembo ya taifa ya Bibi na Bwana yenye caption ya Uhuru na Umoja ,mzee Francis Kanyasu Ngosha, akiishi maisha duni na...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni zaidi ya mwezi sasa tokea yule rais wa TLS [read: CHADEMA], ambaye aliingia madarakani kwa kila aina ya mbwembwe, ambaye ushindi wake wa hicho cheo cha hicho kichama cha wanasheria baadhi ya...
15 Reactions
91 Replies
6K Views
Kwa Maoni Yangu ni Kuwa Wabunge wetu wanaiga Tabia za Mabunge ya Nje! Katika Mabunge ya Nje yenye nidhamu ni Bunge la Senate la Marekani (sio house) Na katika Mabunge yenye zomea zomea nidhamu...
1 Reactions
3 Replies
912 Views
Hii Ni Mara ya Tatu Najaribu Kuomba Mbowe akiija US kwa Shuhuli za Kichama Wanitafute niwape Mawazo yangu Jinsi ya Kuzima hujuma za Kitoto toto juu ya UKAWA! I do not need anything na Hawatapigwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Redirect
Wadau naomba wenye taarifa za kina juu ya Mzee wetu Mabere Nyaucho Marando, maana kapotea kwa muda mrefu kwenye ulimwengu wa siasa. Hivi yuko wapi? Na mbona yuko kimya hivi?
2 Reactions
Replies
Views
Katika kipindi cha miaka mingi watanzania tumeona na kusikia wabunge wetu wanavyo toa maamuzi yenye utata ktk masuala nyeti yanayohusu nchi yetu .Tumeona kwenye kwenye bunge la katiba na kupitisha...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Sote tunakumbuka namna na jinsi chama cha ACT kilivyoanzishwa. Kilitokama na mgongano kati ya makada na wajumbe wa baraza kuu la chama cha demokrasia na maendeleo baada ya waasisi wa chama (ACT)...
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Mwenyekiti wa chadema, F.Mbowe akiwa nyumbani kwa marehemu Ndesamburo kwa ajili ya kutoa pole,... Hapa akiwa na Baba Askofu!
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Back
Top Bottom