Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mimi ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa sehemu fulani hapa nchini. Jana nilipata ugeni wa mwalimu mkuu msaidizi wa shule moja kutoka Kata ya jirani na kata yetu. katika mazungumzo naye tulijadili...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nchi yetu ina aina ya kodi na tozo zaidi ya 52, na hivi ndio vyanzo vikuu vya mapato ya serikali. Wewe kama mlipa kodi una maoni gani juu ya mfumo wa ulipaji kodi ktk nchi yetu? Ni kodi ipi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Tunaumizwa sana na matendo ya wanadamu wenzetu wawe viongozi au wanausalama. Mungu ametuumba na mapungufu makubwa lakini akikosekana mwanafalsafa kiongozi badi ni taabu na mateso makubwa. Nchi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Redirect
Nimeandika nikijua nitakosolewa mno, naweza pia kutafutwa, japo mimi ni mtu rahisi sana kupatikana. Ila naongea ukweli wa moyo wangu. Kuna vitu vinakera, yani inafika mahali hata kama wewe ni...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu Kumekuwa na kasumba iliyozuka ivi karibuni kuzuia wananchi kufarijiana wenyewwe eti mpaka umkabidhi mkuu wa mkoa ndo awasilishe wameende mbali zaidi na kusema ukikabidhi mwenyewe unakiuka...
1 Reactions
Replies
Views
Wakuu nawasalimu wote....Nashukuru nipo salama na cheti changu safiii mimi ni halali sio wakughushi.... Napenda kutoa hoja ambayo wenye akili waipime juu ya huu mchakato wa vyeti feki. Ni aibu...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Vyombo vya habari Tanzania wakuwa wanalia kila kukicha kuwa serikali inaminya uhuru wa habari. Lakini kuna jambo linanitatiza na ningeomba 'Great thinkers' mnisaidie. Jukumu la msingi la vyombo...
2 Reactions
8 Replies
948 Views
  • Redirect
Mkuu wetu tumeona jitihada zako kuanzia kutumbuwa kule bandarini na kushughulikia wakwepa kodi,kushughulikia waliovamia viwanja na ubomoaji hapa Dar es Salaam, kuzuiya vibali vya kuagiza sukari...
2 Reactions
Replies
Views
Upelelezi wazidi kukwamisha kesi ya Kitilya na wenzake Upelelezi wa kesi inayomkabili Kamishna Mkuu Mstaafu wa TRA, Harry Kitilya, mshindi wa Mashindano ya Urembo (Miss Tanzania), mwaka 1996...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Kalist Lazaro,baadhi ya Madiwani,katibu wa Mbunge,viongozi wa dini pamoja na walimu bado wanashikiliwa na Jeshi la polisi tangu wakamatwe jana katika shule ya...
13 Reactions
140 Replies
10K Views
Ndg Wanajamvi kama nilivoandika hapo kwenye heading... Walimu wa ajira hzi za mwezi april znatufanya tunaishi kama njiwa ugenini mpaka muda huu kuna halmashauri hazijatoa pesa ya kujikim ikiwemo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Redirect
Meck Sadick anasema hawezi kuweka wazi sababu kubwa iliyopelekea yeye kuomba kuacha kazi hiyo kwani tayari alishazisema kwa Rais Magufuli ambaye ameamua kukubaliana naye na sasa anasema haitaji...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Sio lazima mtu akutamkie wewe ni kijakazi wake lakini kauli zingine ni dharau kubwa sana na hii ni sawa na kukuona wewe kama kondoo kwamba hata akutamkie nini huwezi kumfanya kitu. Haya matamshi...
0 Reactions
Replies
Views
Ahsante sana Regional Chief Accountant ndugu Mrisho MASHAKA Gambo kwa mahesabu haya sema ni ile haraka haraka tuu hapo kwenye Sub total ilipaswa kuwa Tsh163,069,540/= na siyo Tsh 158,569,540 =...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amechaguliwa kuwa mwenyekiti mwenza wa Baraza la Kimataifa la Wakimbizi. Rais Kikwete amechaguliwa kushika wadhfa huo wakati akiwa bado ni Mwenyekiti wa jopo la ngazi...
7 Reactions
85 Replies
10K Views
Naaum, ni uhakika wa asilimia zaidi ya tisini bado tu kutangazwa mrithi wa Meck Sadick katika nafasi ya Ukuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Hadi sasa ni Kippi Warioba ndiye jina lake limetawala viunga...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Naamini kuwa hii ni wilaya/jimbo ambalo ni maskini kuliyo yote Tanzania Hivi wana kisarawe mnashindwa kumput to task huyo mbunge wenu (kama yupo)? Mambo ya musing kama Maji, Umeme, Barabara na...
6 Reactions
67 Replies
9K Views
  • Redirect
Katika kuendeleza "hapa kazi tu" tunaomba umpandishe cheo mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ally Hapi kuwa mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Mkoa wa Kilimanjaro miaka ya karibuni umekuwa ukirudi nyuma...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu, Ninaposikiliza mijadala bungeni juu ya dhana ya uchumi wa viwanda napata uelewa mpya kuwa huenda hatuelewani kama taifa tuna maana gani katika hilo la uchumi wa viwanda. Mimi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Joyce Ndalichako amesema hawezi kuomba msamaha kwa vitabu kukosewa ila atawawajibisha waliokosewa, na hapo akawasimamisha mara moja kaimu mkurugenzi wa taasisi...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Back
Top Bottom