Dr. Nchimbi kaniacha kinywa wazi

Dr. Nchimbi kaniacha kinywa wazi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,182
Reaction score
16,866
Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.

Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:

1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?

Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.

Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.

Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.

View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw
 
Nchimbi amekuogopesha kwa vile umezoea vya kunyonga vya kuchinja lazima uviogope. Mazafaka machawa leo mna vikao vya kumshambulia Nchimbi.
 
..umesema unataka Katiba Mpya, hilo ni jambo zuri.

..sasa tueleze ni mambo gani unataka yazingatiwe ktk Katiba Mpya.

..pia ni mambo gani ambayo unashauri yasiongezwe ktk Katiba Mpya.

..nahisi kuna maeneo mengi mnakubaliana na wapinzani, hivyo hakuna ulazima wa kuumizana kutokana na siasa.
 
Wasira muigulu riz na abdu na msonglw ndio kikwazo
 
Mkuu, soma katikati ya mistari. Dr, Nchimbi aliposema ili kupata katiba mpya ni jambo la muhimu sana kwa raisi aliyepo madarakani kuwa na utashi wa kuwa na katiba mpya - ni kwamba anatupa ujumbe raisi Samia hana utashi wa kuwa na katiba mpya. Hicho ndichi kikwazo kilichopo. Dr. Nchimbi asingesema hivyo directly.

Ila Dr. Nchimbi ameahidi jambo moja - piga ua, Katiba mpya ndio itatumiwa katika uchaguzi wa 2030. Kwa hiyo Freedom is coming, tomorrow!
 
Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.

Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:

1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?

Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.

Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.

Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.

View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw

We jamaa sikujui lkn hauna akili
 
Kama huujui mtandao unaokwamisha Katiba Mpya, huko CCM upo kwa masirahi yapi?
Au nyinyi ndo wale mnashabiki CCM kwa kuswagwa kama mang'ombe?!

Kwa jinsi mtandao ulivyokita mizizi huko CCM M/kiti si lolote katika maamuzi.
Ndiyo maana Nchimbi kaamua kuweka wazi kwamba Wananchi tupambane kudai katiba mpya, ukiona hivyo jua ya kuwa wamedhibitiwa na kundi maalum huko CCM.
 
Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.

Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:

1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?

Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.

Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.

Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.

View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw

Mlozi wao Wasira, Franco Makiadi aliimba "walozi ni watu wa kuchoma".
 
Kumbuka kuna deep state!

Unadhani kwanini 2015 mchakato uliparaganyika? Mazafaka Kikwete hakuwa na ujanja wa kuunusuru!
 
Nchimbi amekuogopesha kwa vile umezoea vya kunyonga vya kuchinja lazima uviogope. Mazafaka machawa leo mna vikao vya kumshambulia Nchimbi.
Kama anasema mawaziri na kila mtu akiwemo yeye mawazo yao kwenye vikao ni ushuri tu kwa Rais maana yake kikwazo cha Katiba ni Rais Samia. Hata kupambana anakoagiza watu wapambane ni dhidi ya Rais mfanya maamuzi mkuu. Walimchomekea agenda ya Katiba kwenye Ilani.

Kama sio uwepo wa Katiba hii serikali hii ingeshapinduliwa siku nyingi zilizopita na hata yeye asingekuwa Rais wa nchi hii. Ndio maana marais wote walikwepa swala la Katiba. Mzee wa Msoga karibu yamtokee puani alipojaribu kuigusa.

Kama mimi ningekuwq mshauri wake ningemshauri aachane nayo yeye kama Rais mwanamke wa kwanza nchini.
 
..umesema unataka Katiba Mpya, hilo ni jambo zuri.

..sasa tueleze ni mambo gani unataka yazingatiwe ktk Katiba Mpya.

..pia ni mambo gani ambayo unashauri yasiongezwe ktk Katiba Mpya.

..nahisi kuna maeneo mengi mnakubaliana na wapinzani, hivyo hakuna ulazima wa kuumizana kutokana na siasa.
Katiba hii inatosha sana kwa sasa, ila iondolewe kinga kwa wezi na wabadhilifu wote wa mali za umma na wapewe adhabu kali sana kama ikithibitika wameiba au kufuja mali ya wananchi kwa maslahi yake.
 
Uzur maelekezo yanatokea bench kwa kocha kikwete mbinu zake ni zile zile za 2010 mchakato kisha uchakataji kisha sound picha limeisha
Mchakato utafia palepale kwenye aina ya muungano ulipofia wakati ule.

Katika stage hii ya uchumi wetu huwezi kuwa na katiba ambayo inaruhusu uchaguzi mkuu kufutwa na mchakato kuanza upya. Hatuna hela hiyo bado.
 
Katiba hii inatosha sana kwa sasa, ila iondolewe kinga kwa wezi na wabadhilifu wote wa mali za umma na wapewe adhabu kali sana kama ikithibitika wameiba au kufuja mali ya wananchi kwa maslahi yake.
Nani atapona kwa pendekezo hilo.
 
Back
Top Bottom