Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hongera sana ndugu Humphrey Polepole meneja kampeni wa mgombea urais wa JMT kupitia CCM. Bila hivyo uwanja ungekuwa hivi
15 Reactions
38 Replies
5K Views
Haijawahi tokea mgombea kukubalika kiasi hiki,ni ushindi wa 99% ,takwimu zote zina viashiria vya ushindi. a) CCM imewasababishia matatizo watu wengi wakuu wa Makanisha mpaka inawadai uraia...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Mi nawaza kwa sauti tu. Kama hakubaliki kiasi hili mpaka kwao chato au mwanza tumeona lisu akitikisa huko, je asingekuwa na ajenda ya kupeperusha covid ingekuwaje? Inaonekana watu hawamtaki kabisa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
26 Reactions
253 Replies
22K Views
Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao...
8 Reactions
51 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Leo hii ingetokea Bob Marley akafufuka angewacharaza viboko akina Lissu na Chadema kwa kitendo cha kutumia wimbo wake wa "one love" kunyang'anya wananchi hela zao za chakula kwa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
I urging (NEC) to deal with provision of Justice fairness, and respectful of decisions making. Most of NEC workers appointed by current president As well the current president is presidential...
0 Reactions
3 Replies
900 Views
Malalamiko NI mengi Sana ya Chadema Juu ya wagombea wa CCM NI pamoja na. 1 Kutumia magali ya serikali. 2.Kumtumia Mawaziri mkuu. 3.Ahadi za Raisi na kupigia cm mawaziri. 4.Mgombea wa CCM kutofata...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi. Jana kapigwa ban...
8 Reactions
62 Replies
4K Views
Yaani Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutofanya kampeni kwa siku 7 kutokana na kukiuka maadili ya uchaguzi halafu anakimbilia kujirekodi malalamiko yake kwa...
5 Reactions
102 Replies
6K Views
Huu ni mtego kwenu kama mtakaidi maagizo ya kamati ya maadili maana yake mmekiuka adhabu na mnaweza kufungiwa kabisa kufanya kampeni. Hata polisi kunywea msije kujisifu bali polisi imeona ijitoe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
naona ccm na washarika wake tume ya uchaguzi na polisi wanahangaika sana kumzima lissu au ikiwezekana kumuengua asiendelee wala asiwe mgombea tena, neno moja tu kwenu ccm na magufuli na washarika...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimepitia mtandano wa Twitter wa hawa mabeberu na makabaira yaliyokomaa duniani eti kuna shida tena ya korona Tanzania kiukweli wanatuonea wivu tunavyozidi kudunda huku wakisikia maichi yanayo...
22 Reactions
270 Replies
20K Views
Ni kweli kuwa umeonewa kupewa adhabu. Hilo kila mtu analielewa. Hao wanaosimamia haki (Polisi na NEC) ni wateule wa mgombea mwenzio. Hapo tatizo lipo kwenye katiba yetu. Umefanya kampeni na...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria...
20 Reactions
385 Replies
28K Views
TV zote zinaonyesha pia angalia hapa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapwa Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Napenda hizi ishu zisitupeleke kubaya au kugombana. Mnahofu nyingi juu ya kuibiwa Kura kwa namna tofauti kupitia uzoefu wa chaguzi ndogo za marudio. Ipo haja ya kurasimisha hofu hizo kwa kupitia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wananchi, tumefokewa na kuonekana hatuna thamani kwa watawala. Maeneo ambayo ayajawahi kupata maji miaka hamsini tunafokewa kwamba tusipowachagua CCM hatupati maji, miaka yote wamewahi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
*WATANZANIA WENZANGU MMEMSIKIA TUNDU LISSU? NAULIZA TENA MMEMSIKIA?* Yaani Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutofanya kampeni kwa siku 7 kutokana na kukiuka...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Back
Top Bottom