East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 995
Huu ni mtego kwenu kama mtakaidi maagizo ya kamati ya maadili maana yake mmekiuka adhabu na mnaweza kufungiwa kabisa kufanya kampeni.
Hata polisi kunywea msije kujisifu bali polisi imeona ijitoe kwenye lawana wamewaachia NEC ili msiseme polisi au serikali wamewaonea.
Sasa mmeachiwa mtego Kwa NEC ambayo unafanya kazi bila maelekezo ya mtu.
Sasa akijifanya kichwa ngumu imekula kwake na huwezi kuishitaki NEC popote Kwa mujib wa katiba.
Staybtuned.
Nabii.