Hata kama Lissu atatolewa kwenye kugombea,message delivered!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
naona ccm na washarika wake tume ya uchaguzi na polisi wanahangaika sana kumzima lissu au ikiwezekana kumuengua asiendelee wala asiwe mgombea tena,
neno moja tu kwenu ccm na magufuli na washarika wenu wote hata kama mkimtoa asigombee tena message delivered
watanzania hawaitaki tena ccm hata kama mngekuja na mbinu gani haisaidii tena is matter of time
tukishindwa sisi kizazi hiki kile kijacho kitawatoa na historia itawahukunu
 
Kizazi kijacho hakiwezi kuwa na Fikra mbovu na duni kama Yako(Yenu).

Dunia ya sasa na Ijayo inachohitaji Maendeleo pekee na sio Maneno Maneno ya ovyo.
 
maendeleo yapo ya aina mbalimbali,elimu,uwezo wa kuelewa,haki,utawala bora,demokrasia,sijui wewe unaongelea maendeleo gani

1.Elimu, Kuna Elimu bure kwa sasa from primary school to advanced Level.

2.Uwezo wa kuelewa:Hii ni akili binafsi na hakuna rais dunia hii atakae mpa mtu uwezo wa kuelewa,zaidi ya kumuelewesha tu. Idiot

3.Haki, Kuanzia haki ya kuishi,kujieleza,press, mpaka haki ya kuabudu inapatikana Tanzania.
N.B Haki yeyote bila utaratibu na sheria(mipaka) ni chanzo cha Migogoro ndani ya nchi.
4.Utawala bora;Magufuli katika utawala wake umepongezwa sana na nchi nyingi,watanzania na Wengine wanafika mbali wanamuomba aende kuwa rais wao.eg Kenya.

Demokrasia.Uwepo wa Vyama vingu huru vya kisiasa mpaka Uchaguzi na kampeni zinafanyika ishara tosha kuna uwepo wa demokrasia na Mengine Mengi.

Robert na T.Lissu wasiwachanganye nyie hao wanainterest zao binafsi,shauri yenu.
 
Kizazi kijacho hakiwezi kuwa na Fikra mbovu na duni kama Yako(Yenu).

Dunia ya sasa na Ijayo inachohitaji Maendeleo pekee na sio Maneno Maneno ya ovyo.
Maendeleo gani unayaongelea ?!. Labda tuna maoni tofauti !!

Pia Ulaya, Asia ya mbali na America wangeridhika na hali yao ya ww II , wasingekuwa hivi walivyo leo.
 
Tanzania haijaridhika bado na kubweteka.

Bali kinachofanyika ni hatua kwa hatua..Ndio maana Leo unasikia Tanzania tupo uchumi ya kati lakini hapo awali hatukua hapo bali tulikuwa chini sana.

Hata haya mabara hayakujijenga ndani ya siku moja,Walikaa miongo|karne kadhaa mpaka Uchumi wao ukawa stable.

Hata Roma haikujengwa kwa siku moja..Japo taratibu tutafika tu huko.
 
naona ccm na washarika wake tume ya uchaguzi na polisi wanahangaika sana kumzima lissu au ikiwezekana kumuengua asiendelee wala asiwe mgombea tena,
neno moja tu kwenu ccm na magufuli na washarika wenu wote hata kama mkimtoa asigombee tena message delivered
watanzania hawaitaki tena ccm hata kama mngekuja na mbinu gani haisaidii tena is matter of time
tukishindwa sisi kizazi hiki kile kijacho kitawatoa na historia itawahukunu
Wakimtoa tuna Membe na Rungwe hawa wasijitoe
 
naona ccm na washarika wake tume ya uchaguzi na polisi wanahangaika sana kumzima lissu au ikiwezekana kumuengua asiendelee wala asiwe mgombea tena,
neno moja tu kwenu ccm na magufuli na washarika wenu wote hata kama mkimtoa asigombee tena message delivered
watanzania hawaitaki tena ccm hata kama mngekuja na mbinu gani haisaidii tena is matter of time
tukishindwa sisi kizazi hiki kile kijacho kitawatoa na historia itawahukunu
Jomba labda nikuulize unazungumzia watanzania wepi hao..wanqchama wenu au ndugu zako na familia yako na mmeo..usi generalize haya mambo ya wananchi, Tena ukome..Sema wanachama wa chama chako..Kwa sababu asilimia 95 ya wananchi wapo na Magufuli sijui unalijua hilo
 
Naona mmeanza kukata tamaa,na mtatambua ukweli kuwa lissu hafai ni garasa

Tatizo anajiona kama yeye ndo mtu wa kwanza kusoma sheria Tanzania hii

Bure sana huyu dubwana
 
Naona mshaanza kulegea sasa, wakati CCM mapafu ndio kwanza yamefunguka.

Mwaka huu mtakuwa mmejifunza kitu.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Excuse me?? WTF?? Sio lengo la upinzani ku deliver message, lengo ni kuiondoa madarakani CCM! Na mwaka huu mbinu zote ziko mezani.
 
naona ccm na washarika wake tume ya uchaguzi na polisi wanahangaika sana kumzima lissu au ikiwezekana kumuengua asiendelee wala asiwe mgombea tena,
neno moja tu kwenu ccm na magufuli na washarika wenu wote hata kama mkimtoa asigombee tena message delivered
watanzania hawaitaki tena ccm hata kama mngekuja na mbinu gani haisaidii tena is matter of time
tukishindwa sisi kizazi hiki kile kijacho kitawatoa na historia itawahukunu
Umeandika nini humu?
Kwa nini atolewe?
Kwani magufuli ndio sheria

Usiwe na imani haba
Umekata tamaa mapema mno
Hubiri ushindi
Usihubiri kushindwa
Usiwape credit sisiem kwa kupitia hili

Message delivered ni 2020... ni Yeye period!
 
Back
Top Bottom