Wimbo wa Bob Marley unavyotumiwa na CHADEMA kudhulumu wananchi

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Leo hii ingetokea Bob Marley akafufuka angewacharaza viboko akina Lissu na Chadema kwa kitendo cha kutumia wimbo wake wa "one love" kunyang'anya wananchi hela zao za chakula kwa kisingizio cha kampeni.

Bob Marley alikuwa mwanahatakati aliyetetea maslahi ya wanyonge kupitia muziki bila kuwachangisha.

Kila sehemu wakati wa kampeni wimbo huu wa "one love" unapigwa na ghafla baadhi ya viongozi wa Chadema wanapita na mifuko kushawishi watu watoe walichonacho na kibaya zaidi hakuwa uwazi katika matumizi ya michango hiyo.

Nimalize kwa kuwashauri muwe na huruma waachieni wananchi hela zao za chakula na dawa.
 
Na wewe katumie ya chama pendwa upore watu kwani umezuiwa.
 
Ridhaa au hiari inashinda utumwa. Hao wanaotoa wanaziada waache watoe ukiwauliza watakuambia wao ni wazalendo
 
Nimalize kwa kuwashauri muwe na huruma waachieni wananchi hela zao za chakula na dawa.
Chakula na dawa kwa hao wananchi vingekuwa affordable bila matatizo (chakula, malazi na mavazi) wala Chadema wasingepata muda wala watu wa kuwaambia lolote, hao watu wangekuwa busy wanakula bata
 
Ndugu zangu,

Leo hii ingetokea Bob Marley akafufuka angewacharaza viboko akina Lissu na Chadema kwa kitendo cha kutumia wimbo wake wa "one love" kunyang'anya wananchi hela zao za chakula kwa kisingizio cha kampeni.

Bob Marley alikuwa mwanahatakati aliyetetea maslahi ya wanyonge kupitia muziki bila kuwachangisha.

Kila sehemu wakati wa kampeni wimbo huu wa "one love" unapigwa na ghafla baadhi ya viongozi wa Chadema wanapita na mifuko kushawishi watu watoe walichonacho na kibaya zaidi hakuwa uwazi katika matumizi ya michango hiyo.

Nimalize kwa kuwashauri muwe na huruma waachieni wananchi hela zao za chakula na dawa.
Jifunze kuandika kwanza "Mwanahatakati"ndo nini
 
Haya matamasha ya wasanii anafanya nao kazi hizo nyimbo haziwadhulumu wananchi?
 
Ndugu zangu,

Leo hii ingetokea Bob Marley akafufuka angewacharaza viboko akina Lissu na Chadema kwa kitendo cha kutumia wimbo wake wa "one love" kunyang'anya wananchi hela zao za chakula kwa kisingizio cha kampeni.

Bob Marley alikuwa mwanahatakati aliyetetea maslahi ya wanyonge kupitia muziki bila kuwachangisha.

Kila sehemu wakati wa kampeni wimbo huu wa "one love" unapigwa na ghafla baadhi ya viongozi wa Chadema wanapita na mifuko kushawishi watu watoe walichonacho na kibaya zaidi hakuwa uwazi katika matumizi ya michango hiyo.

Nimalize kwa kuwashauri muwe na huruma waachieni wananchi hela zao za chakula na dawa.
kwani wanalazimishwa kuchangia?

besides, kama wananchi hao wangekuwa wanakerwa na kuchangia sidhani kama wangekuwa hata wanahudhuria (wengine kukesha) kwenye mikutano ya Lissu kwa maelfu kiasi kile!
 
Ndugu zangu,

Leo hii ingetokea Bob Marley akafufuka angewacharaza viboko akina Lissu na Chadema kwa kitendo cha kutumia wimbo wake wa "one love" kunyang'anya wananchi hela zao za chakula kwa kisingizio cha kampeni.

Bob Marley alikuwa mwanahatakati aliyetetea maslahi ya wanyonge kupitia muziki bila kuwachangisha.

Kila sehemu wakati wa kampeni wimbo huu wa "one love" unapigwa na ghafla baadhi ya viongozi wa Chadema wanapita na mifuko kushawishi watu watoe walichonacho na kibaya zaidi hakuwa uwazi katika matumizi ya michango hiyo.

Nimalize kwa kuwashauri muwe na huruma waachieni wananchi hela zao za chakula na dawa.
Hamna mtu aliyeshikiwa mtutu wa bunduki ili achangie.
Watu wanachanga kwa moyo mmoja
 
Ndugu zangu,

Leo hii ingetokea Bob Marley akafufuka angewacharaza viboko akina Lissu na Chadema kwa kitendo cha kutumia wimbo wake wa "one love" kunyang'anya wananchi hela zao za chakula kwa kisingizio cha kampeni.

Bob Marley alikuwa mwanahatakati aliyetetea maslahi ya wanyonge kupitia muziki bila kuwachangisha.

Kila sehemu wakati wa kampeni wimbo huu wa "one love" unapigwa na ghafla baadhi ya viongozi wa Chadema wanapita na mifuko kushawishi watu watoe walichonacho na kibaya zaidi hakuwa uwazi katika matumizi ya michango hiyo.

Nimalize kwa kuwashauri muwe na huruma waachieni wananchi hela zao za chakula na dawa.
Na nyie tumieni ule wa kwenu wa "waacha waisome namba" kama mnaona wivu
 
Kama mke wa Nyerere kakususieni Nyerere mwenyewe ingekuwaje?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nje ya mada kidogo, Kwanini kuku anakuaga na mizunguko sana iwe wakati wa kuproduce mayai au akikatwa kichwa?!
 
Ndugu zangu,

Leo hii ingetokea Bob Marley akafufuka angewacharaza viboko akina Lissu na Chadema kwa kitendo cha kutumia wimbo wake wa "one love" kunyang'anya wananchi hela zao za chakula kwa kisingizio cha kampeni.

Bob Marley alikuwa mwanahatakati aliyetetea maslahi ya wanyonge kupitia muziki bila kuwachangisha.

Kila sehemu wakati wa kampeni wimbo huu wa "one love" unapigwa na ghafla baadhi ya viongozi wa Chadema wanapita na mifuko kushawishi watu watoe walichonacho na kibaya zaidi hakuwa uwazi katika matumizi ya michango hiyo.

Nimalize kwa kuwashauri muwe na huruma waachieni wananchi hela zao za chakula na dawa.
vipi kuhusu ule wenu kuisoma namba mpaka mnasomeshana wenyewe kinyume na matakwa ya marehemu Komba?
 
Ndugu zangu,

Leo hii ingetokea Bob Marley akafufuka angewacharaza viboko akina Lissu na Chadema kwa kitendo cha kutumia wimbo wake wa "one love" kunyang'anya wananchi hela zao za chakula kwa kisingizio cha kampeni.

Bob Marley alikuwa mwanahatakati aliyetetea maslahi ya wanyonge kupitia muziki bila kuwachangisha.

Kila sehemu wakati wa kampeni wimbo huu wa "one love" unapigwa na ghafla baadhi ya viongozi wa Chadema wanapita na mifuko kushawishi watu watoe walichonacho na kibaya zaidi hakuwa uwazi katika matumizi ya michango hiyo.

Nimalize kwa kuwashauri muwe na huruma waachieni wananchi hela zao za chakula na dawa.
Ungejua Lema kafanyaje humu Arusha ,wao na Mbowe hawafai.
Kweli siongei zaidi sikuwa nawajua nilijua lema kweli anatetea wanyonge kumbe jamani anachangisha wanyongwe pesa,anachukua pesa zao,akipewa pesa anatumia kwa matumizi yake je wale waliofungwa kisa ni makamanda sialijitoa mwenyewe .
Mengi kafanya hadi mimi sina hamu nayo.
Ukiwa mwanachamaa kuna asilimia unayokatwa kwa mwezi hadi wabunge wa chama cha mapinduzi wakaingilia kati ndio ikafutwa kulipishwa kwa kila mwezi ilikuwa mishahara yao inakatwa dah chadema ni moto wakuotea mbali.
 
Back
Top Bottom