Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania’s biggest opposition parties will proceed with plans to name a single presidential candidate for elections later this month, even as the country’s electoral body temporarily barred their...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuwasomesha watu elimu ya kuajiliwa huku wakihitimu wanawahimiza wajiajiri! Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo imekuwa tafrani kiasi kwa wengine inawabidi warudi nyumbani au wahairishe kabisa. Mgombea...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Bila kujali adhabu ya Tume ni halali au ni batili adhabu ila ni ya kisheria. Sasa adhabu za namna hiyo zinaanza pale ambapo umepewa taarifa ya ya hukumu. Kifungu 19(2) cha Law of Limitation Act...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Sioni muda wa kusubiri zaidi, watendaji wa NEC wakiongozwa na mkurugenzi wao wafikishwe mahakama ya katiba na Sheria mapema iwezekanavyo, kwasababu zifuatazo - Kampeni zimegubikwa na ubaguzi wa...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Tafadhali sana badilika upesi na niwaombe pia hata wale walioko karibu nae ( hasa Washauri ) ama wamsaidie au wambadilishe kwani anachokifanya sasa ni 'Kujichoresha' na hadi 'Kujidhalilisha' kwa...
70 Reactions
155 Replies
12K Views
MTATIRO ATEMBEA KILOMITA 14 KUTATUA MGOGORO WA BONDE LA MPUNGA Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amelazimika kutembea kilomita 14 kwa miguu kwenda na kurudi kwenye bonde la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo tarehe 02/10/2020 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad akamilisha mkutano wake wa mwisho wa kampeni kwa awamu ya pili kisiwani Pemba...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Binafsi sikai Moshi au niseme sikai mkoani Kilimanjaro kunakodaiwa kuwa kitovu cha upinzani hasa CHADEMA. Hata hivyo natamani sana kufika pande hizo hata kwa kukanyaga nyayo zangu tu ndani ya...
10 Reactions
25 Replies
5K Views
Tulisikia taarifa ya Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya uchaguzi, katika kikao chake ilichoketi Jana, ikitoka na uamuzi wa kumfungia Tundu Lissu, kutofanya mikutano ya kampeni kwa wiki moja...
11 Reactions
22 Replies
3K Views
Hawasikiki kabisa. Kweli maisha yanaenda kasi sana. Sikuwahi kudhani kuwa Chama cha Chauma na Mgombea wake wa Urais Bw.Hashimu Rungwe wangekuwa maarufu kuliko CUF ya Lipumba au kuliko Bernard...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana jamiiforums, Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Ni kweli kwa kila mmoja wetu kuwa inafahamika kuwa tarehe 28 mwezi Oktoba, tunaenda kuwachagua viongozi...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Anaandika Zitto Kabwe: "Kesi ya Jinai namba 327/2018 inayonikabili mahakama ya Kisutu inaendelea kesho saa Tatu asubuhi huko Dar. Muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya Siasa unawasilishwa...
20 Reactions
98 Replies
12K Views
IPO risiti ya halmashauri inazagaa mitandaoni ikionyesha malipo faini ya 30,000 kwa kosa la kujifungulia nyumbani. Naomba kufahamishwa, hii faini ni kwa mikoa yote nchini au ni Njombe pekee? Je...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Tangu juzi kulikuwa na taarifa za ujio wa Kassim Majaliwa hapa Kakola. Maandalizi ya eneo la mkutano yalianza tangu juzi jumatano kwa kuweka mahema uwanja wa shule ya msingi Kakola. Hadi jana...
32 Reactions
54 Replies
10K Views
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu. Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi...
4 Reactions
85 Replies
7K Views
Mhe. Tundu Lissu, wewe ni mgombea wa urais. Sote tunatambua ya kuwa urais ni taasisi. Hivyo ni muhimu sana kwa wewe kujijenga kitaasisi ukiwa mgombea. Kwa jinsi ninavyoshuhudia katika kampeni zako...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM Wilaya ya Kyela , Leo tarehe 11/9/2020 ndio siku iliyopangwa kuzindua kampeni za uchaguzi, ambapo Mgombea ubunge wake aitwaye Kinanasi ambaye inasemekana miezi 6...
22 Reactions
80 Replies
9K Views
Yani interchange ya Ubungo ni moja ya interchange mbaya kabisa duniani na najua kuwa ile inapatikana Tanzania pekee. Sasa niulize, lile daraja la juu la kuunganisha Mwenge na Buguruni yani Sam...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
NDIYO, hatutakubali yaliyofanyika kipindi kile cha uchaguzi na Zanzibar ya Jecha Kwa mjibu wa kanuni za maadili na Sheria za uchaguzi, zinavitaka Vyama Vyote vinavyotoa wagombea Kwa ajili ya...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Ccm now is going to fall at the great extent. The reasons which will lead fall of rule of few. 1. Massive unemployment 2. Assassination of Akwilina 3. Unknown peoples and kidnapped 4. Poor...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom