Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana jamvi muhimu la JF. Serikali baada ya kuzuia kupanda madaraja kwa takriban miaka minne(Tangu 2015). Hatimae imetoa kibali kwa watumishi wote wa umma waliotumikia vyeo vyao kwa miaka...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Kujenga reli, kufufua reli ya Kaskazini, kujenga barabara na mengine yote. Huu ni wajibu wa serekali inayokuwepo madarakani. Kipi kigeni kufufua Reli ya Dar mpaka Arusha? Ilikuwepo na waliiuwa...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo kamati kuu ya Chadema inakaa, naamini itajadili mambo mengi ikiwemo mwenendo mzima wa kampeni kuanzia uraisi hadi madiwani nchi nzima bila kusahau suala zito la kusimamishwa kufanya kampeni...
35 Reactions
49 Replies
4K Views
Huu ndio ukweli mchungu kwa hawa watu hawa ambao wameamua kutumia mabavu kunyanyasa wengine, tena wakitimiza wajibu waliopewa kwa doublestand ya hali ya juu. Mnawalazimisha watu kutafuta haki zao...
14 Reactions
42 Replies
6K Views
Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support. Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja. PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Kama ilivyo ada, mheshimiwa Lissu ameamua kuwafuata wananchi kule waliko na kusemezana nao. Jana alipita katika eneo la Ngorongoro na kuongea na wamasai, Mheshimiwa Lissu akazungumza nao kuhusu...
14 Reactions
45 Replies
7K Views
Kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi Tanzania, Comrade Bashiru Ali a.k.a Mchuuzi wa ndizi aliwaonya wapinzani wao kwamba tayari alikuwa katika harakati za kisayansi ya siasa za kusimika MITAMBO ya...
8 Reactions
38 Replies
5K Views
Akiwa Mara alisema, akiwa kigoma alisema, Akiwa Mbeya alisema wakimchangua Mbunge ambaye sio wa CCM hatawaletea maendeleo kama atachaguliwa kuwa Rais. Hivi NEC hawaoni kuwa hizi ni ubaguzi na...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Mgombea wa kiti cha Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ADC, Bi Queen Cuthbert Sendiga ameendelea na kampeni zake leo katika Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Bagamoyo. Leo hii...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima katika kesi ya kutoa lugha ya matusi dhidi ya Askofu Mkuu wa...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Moja ya jambo ambalo Watanzania na Waafrika wenzangukwa ujumla tunapaswa kujiuliza sana. Je, hivi ni kweli, nchi ya Marekani na vibaraka wake ni watetezi wa demokraaia au ni watetezi wa maslahi...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Serikali mkoani Lindi imekiri kua inadaiwa na wakulima wa korosho kiasi cha Bilioni 6.9 za wakulima wa korosho kwa msimu wa 2018/2019. Wakulima hao ni wale serikali ilichukua korosho zao na...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni mkakati wa ACT wazalendo chini ya uongozi wa Maalim Seif Sharif Hamadi na timu yake ya ushindi,amesema hilo halina ubishi wala mjadala ni mazungumzo yalioasisiwa na utekelezaji wake upo mezani...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikizidi kushika kasi, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Mstaafu Francis Mutungi amewataka wadau wote wa uchaguzi wakiwemo wanasiasa kuepuka misuguano na...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema nchi nyingi za Afrika zina mipaka waliyorithi kutoka kwa wakoloni Mataifa mengi ya afrika yalitawaliwa hadi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nashangaa kuona vijana wa CHADEMA na ACT wakihangaika kujadili suala ambalo katika demokrasia halina mjadala. Magufuli akiwa mgombea wa CCM amekuwa akiwapigia debe wagombea wa CCM na kuwanadi na...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Nilichojifunza hapo ni kwamba Mh Tundu Lissu au chadema mna ungomvi binafsi na Mh JPM. Hivi kukataa lockdown na huku nchi jirani zikiendeleza lockdown ni kaharibu mahusiano? Come ooon! Eti rafiki...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania tumesubiri kwa hamu sana kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mgombea wao wa uraisi Bernard Camilius Membe, kulikoni? Hebu tujuzane wanabodi! Au kaweka mpira kwapani mazima?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge. Halima Mdee naye kwenye gari...
26 Reactions
223 Replies
20K Views
Wakuu heshima sana, Sheria Number 5 ya mwaka 1992 viongozi ngazi ya kitaifa wa fursa ya kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani nchi nzima. Kwakuwa Tume ya Uchaguzi imemzuia Lissu kufanya kampeni kwa...
22 Reactions
69 Replies
7K Views
Back
Top Bottom