Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari dhidi Corona Tanzania. Je, lini watatuacha tuishi maisha yetu?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Nimepitia mtandano wa Twitter wa hawa mabeberu na makabaira yaliyokomaa duniani eti kuna shida tena ya korona Tanzania kiukweli wanatuonea wivu tunavyozidi kudunda huku wakisikia maichi yanayo washobokoe kama kenya hadi kuna kubakana huko kwenye karantini zao sisi tupo fiti.

Ifikie muda wakae kimya watuache tuishi maisha yetu wasijifanye wanatufahamu saaana huu sio utawala wa kina membe wa kuwashupalia na kuwatukuza ,tunajimudu sana kwa sasa

USSR

2AC5648E-8512-4576-AC19-71A1DAE745BC.png
 
Tangazo liko wazi kabisa.wanatoa tahadhari kwa Raia wao waliopo Tanzania na kuwaelekeza nini cha kufanya.Jambo la pili ambalo naona ndilo la msingi (if you read between the lines) kuna hofu ya kuwa mlipuko ukitokea Hospitali za Tanzania zitazidiwa na hii inaweza kuhatarisha maisha.
Hawa wanawapenda Raia wao na wanawapa kila aina ya taarifa,sisi ukisikia MTZ kauawa South majibu yanakuwa "ngoja wakome wamezidi kuzamia"
 
Watupongeze ili iweje wampongeze zitto
Hako Ka-zito tangu kafurumushwe kule kwa kuku na kufanya kibarua cha kuku kiote mbawa bado kana kenue kenua tu. Safari hii hakarudi mjengoni. Hapa Kazi Tu! JPM
 
Back
Top Bottom