Nimejaribu kufuatilia vyombo vya habari karibia vyoote (vya Redio na TV) hasa kipindi hiki cha uchaguzi na kugundua kuwa asilimia kubwa ya vyombo vya habari vimepoteza weredi wa kutoa matangazo...
Mzarau chake mtumwa na ndivyo walivyo CCM,wamejisahaulisha na kuuficha ukweli wa msemo wa kiswahili ..usemao Mtu mzima dawa..tunawaona CCM katika ubora wao wanashindwa kuelewa hekima za mtu mzima...
Mahsusi kwa wataka haki na uhuru.
Haipo safari rahisi kuelekea kunako haki au uhuru. Itambulike kuwa kuwaondolea hivyo waliovihodhi kwa ubinafsi wao ni zaidi ya kumwondolea simba windo...
Ndugu zangu tusije tukajisahau na kujiziuka kwa sababu ya itikadi ya kisiasa. Kwa uzoefu wa miaka hii mitano. Hakuna mbunge wa CCM ambaye ataupinga mswada wa sheria kandamizi ulioletwa au...
Katika Kampeni za Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Kilombero Bw Abubakar Asenga zilizofanyika Kata ya Viwanja Sitini Oct 2 Vijana 6 Wa CHADEMA walirudisha KADI zao na Kujiunga na CCM
Katika Mkutano...
Naomba kufahamishwa kati ya dola na chama Nani Ni more professional? Na je Nani Yuko juu ya mwrnzake? Kwa maoni yangu kwanini dola Mara nyingi anaendeshwa na chama? Kwanini chama kinatawala dola...
Tunajua ratiba ya kampeni zake ina-resume kesho tarehe 4/10/2020....
Aidha kuna hizi "tetesi" kuwa, kampeni zake ziko suspended kwa siku 7 hadi tarehe 9/10/2020 kama adhabu ya "kikiuka sheria za...
Wiki iliyopita Mkurugenzi wa Uchaguzi, Wilson Mahera, alitangaza kwenye vyombo vya habari kumuita mgombea wa Urais CHADEMA, Tundu Lissu kwenye kamati ya uchaguzi kabla hata ya kumuandikia barua ya...
“Mimi sioni tabu kumwambia (Magufuli) tugawane mbao”. Haya ni maneno aliyoyatamka Mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika mkutano wa...
Akiwa huko Mihambwe Zitto amewataka wananchi wachague mtu mwenye uwezo wa kumshinda Magufuli.
Ndugu Zitto amewaambia wananchi kuwa lengo kuu ni kumshinda Magufuli na amewataka wananchi wasigawe...
Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dkt Hussein Mwinyi amesema muungano uliopo kati ya Tanganyika na Zanzibar ndio unaleta amani na utulivu katika Taifa.
Amesema Muungano unaleta umoja wa...
Na hapa ndipo sehemu pekee ambayo CCM yangu inanifanya niipende kwani inajua mno kufanya 'Utafiti' hasa ule wa 'Kujitathmini' yenyewe ili baadae ijue jinsi ya 'Kumkabili' na 'Kumshinda' Mpinzani...
Naona Ccm wao wanajisifu kujenga,vituo vya afya,barabara,flyovers,meli na mambo kedekede. Lakini siwasikiii kuzungumzia kutatua kero za ajira kwa vijana, maana kila mwaka vijana wanahitimu kakini...
Vitu hivi Polepole na Makonda na viongoz wote wa Serikali walikua wanavipigia debe sana Sasa hivi mbona vimegeuka MWIBA MCHUNGU ktk kampeni zenu mbona hamvitaji tena??
Wanasema ukiwa na mitego na ujuaji mwingi mwisho wa siku utajitega mwenyewe.
Kuna Chama kimeonesha kukana mgombea wake, yaani kumbe anayoyafanya au kuyasema mgombea wake Chama hakiyatambui.
Ni...
JINSI HAKI YA WAGOMBEA WOTE 20 WA UDIWANI KUPITIA UPINZANI ILIVYOPOROMOSHWA KWA KARATASI YENYE MAANDISHI KATIKA JIMBO LA MONDULI
Siku zote, amani ni tunda la haki katika jamii. Viongozi...
Wizara hii nyeti kwa wananchi ilikuwa hovyo sana. Hawa jamaa wamepambana sana kuhakikisha inakuwa na tija kwa Taifa. Hongereni sana. Msilegeze kamba. Makandarasi wa hovyo fukuza. Mainjinia wa...
H.Res.1120 - Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.