Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama yeye ni mhalifu na anafanya mambo kinyume na kanuni basi NEC hakuna haja ya kupigizana kelele na Lissu. Nyie ni Tume ya uchaguzi ambayo mna amini kuwa mnaaminiwa na wananchi wa nchi hii kwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Yaani huwa inashanga sana...mtu hapendi kula kwa kusimangiwa chakula cha siku moja ikawa tayari anamiaka zaidi ya ishirini,huko nyuma alikula anakula nin?Magufuli unajiabisha sana kwa kushindwa...
27 Reactions
62 Replies
6K Views
Jawabu ni CCM. Je ni CCM pekee ? Tulikubali hilo na tukilikubali nini matokeo yake ? Tegemeo kuu ni mwitikio wa wananchi katika majimbo yao majimbo ambayo kwa sasa inakaribia Tanzania nzima...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
NITAKUWA RAIS MSIKIVU NA NITAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" MAGU , MWANZA Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana. Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa...
21 Reactions
81 Replies
12K Views
Mgombea Urais kupitia chadema amesema kuna hatua za kuchukua kabla ya kufikia hatua za kumuadhibu au kamati kufikia maamuzi, maswali yafuatayo ni ya kujiuliza ili tupate majibu: 1. Mgombea Urais...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimemsikia mh lisu Mara nyingi akiwasemea watumishi wa uma na maasikari kwamba hawajaongezewa mshahara kwa miaka mitano kinyume na katiba, Kusema mapolisi hawajaongezewa mshahara ni matusi!? Ni...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Na: McWenceslaus 01/10/2020. Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo...
-1 Reactions
56 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF, leo ningependa kuzungumzia hawa watu wawili ambao wanaonekana wanaweza kupeperusha bendera ya upinzani. Membe ni mtu mmoja msafi sana na hata umchafuaje hutaweza kwa kuwa ana...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Husika na kichwa hapo juu. Uwezi jua Mungu anakuhepusha na Nini kingekupata kwenye harakati zako ndani ya week ijayo. Uliona jinsi katazo la kutumia helicopter lilivyokuwezesha kuwafikia wengi...
19 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuelekea uchaguzi baadae mwezi huu nchini Tanzania, kumekuwa na mashambulizi dhidi ya upinzani na sauti za kiraia, kizuizi kwenye vyombo vya habari na mapungufu kwenye uhuru wa wananchi...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu Kumekuwapo na malalamiko ya uvunjifu wa kanuni na sheria za maadili ya uchaguzi yanayofanywa na mgombea wa CCM yaliyowasilishwa kwenu rasmi. Mgombea wa tume...
10 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimemsikiliza mke wa Lisu kila anapopewa nafasi kwenye mikutano ya kampeni yuko vizuri mno kwenye kunadi Sera. Kwanza katulia hasa HIGHLY COMPOSED. Hana jazba na ana pointi Huyu ndie CHADEMA...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Siasa ni mchezo mmoja wa ajabu. Siasa haitaki hasira wala kuilazimisha. Taabu anayopata Mh Magufuli kujinadi sasa hivi haikutegemewa, pamoja na mazuri mengi aliyofanya. Ndugu yetu Membe kaingia...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa...
71 Reactions
376 Replies
36K Views
MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia...
35 Reactions
76 Replies
10K Views
Leo Gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa muda wa miaka miwili. HII NDIO MAKALA ILIYOPELEKEA MWANAHALISI KUFUNGIWA! Tumwombee Magufuli au Tundu Lissu? Na Ansbert Ngurumo TANGU Tundu Lissu...
56 Reactions
216 Replies
25K Views
Watanzania Poleni kwa msiba mkubwa wa Baba yetu Ben Mkapa Chama na Taifa tumepata pigo kubwa hakika ni mwaka mgumu kwetu Watanzania Mwenyezi Mungu atupe subra pole nyingi ziende kwa Rais...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Kila kona ya nchi yetu, watanzania wanafurahia kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Mheshimiwa Rais Magufuli katika sekta ya elimu ikiwemo kutoa elimu bila malipo kwa shule za Msingi na Sekondari...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Katibu Muenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema upinzani huwa hauongezeki, ukiona kitakwimu umeongezeka huwa inakuwa ni matokeo ya CCM wakiwa na mgogoro wa ndani CCM wakiwa na mgogoro wa ndani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom