Tujiulize, wako wapi mashabiki wa Lissu wapinge adhabu barabarani?

Jane Lowassa

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,755
8,487
Wakuu

Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.

Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo

Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
 
Wewe ajuza tuondolee janaba hapa
 
Hahahaaa kweli nimeamini nyie ndio mnaoanzisha vurugu.
Mnawaminya watu ili mpime nguvu zao!!?

Amini nakuambia hilo mnalolitafuta halitawaacha salama. Kama sio wewe basi watoto wenu
 
ninafikiri hakuna haja kwa kuwa ameshasema anaendelea na kampeni kama kawaida. Unless wakimzuia kuendelea ndiyo watu wanaweza kumsaidia na kum-support.
Adhabu atatumikia na hamna kitu atafanya, iwe yeye au wafuasi wake. Wengi wao na hawa wa mitandaoni kama kina Mshana
 
Wakuu

Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.

Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo

Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Embu muombe basi dikteta wenu aruhusu watu waandamane kwa amani kwani unapenda sana anachofanya dikteta na vyombo vyake vya dola.
 
Wapo umu wanasubir kuanzisha uzi wa

Kinacho endelea kwenye Maandamano ya Tundulisu kwa picha Tena muda huo wao Hua bize kusimamia uzi wakiwa nyuma ya kibod chadema kwao ni bora kujinyonga kuliko kumpigia kura Tundulisu
 
Wafuasi wake ni keyboard worriers
Wakuu

Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.

Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo

Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
 
Wakuu

Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.

Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo

Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Miongoni mwa wazalendi maslahi wanao lihujumu taifa,kwa kujificha kwenye kichaka Cha uzalendo.
 
Wakuu

Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.

Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo

Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Mimi nampenda JPM sana ,Ni wakati huu ndio nimefanya ziara sana nje ya nchi na kuweza kumalizia nyumba zangu,

Wakati wa JK Mafundi bei zilikuwa jui na dharau juu

Wakati huu wao ndio wamenitafuta kuuliza Mzee malizia nyumba zako

Twende na JPM 2o2o
 
Lisu mpenda kutishia tishia nyau ,Anapenda indimidation sanaaaa ya mdomoni .Akidhani wanaomsikiliza wanayatilia maanani kumbe nobody minds .

Mtanzania umwambie ingia barabarani ufanye vurugu ili wewe uingie bungeni au ikulu ukale miposho na mishahara minono na bata!!!

Mtanzania hapo humpati UTAINGIA BARABARANI mwenyewe.
 
Wakuu

Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.

Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo

Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Ili mghairishe uchaguzi kwa kisingizio cha fujo hapo mtasubiri 28 tuonane kwenye sanduku la kura
 
Back
Top Bottom