Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Niko hapa mjini Dodoma, Waziri wa Uchukuzi Mhe. Omar Nundu, anafanya Press Conference saa hizi hapa Dodoma Hotel na amefunguka vilivyo ikiwemo hoja ya kujizulu!. Amesema yeye ajiuzulu...
4 Reactions
224 Replies
26K Views
Utafiti mpya kabisa wa kisayansi uliochapishwa jana kwenye Jarida la Sayansi la BMJ (BMJ 2020;371:m3588 ) umethibitisha kuwa JPM alikuwa sahihi kutowafungia watu kwa sababu ya corona. Utafiti...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni vyema wawaambie Wazanzibari wameshindwa nini kuiletea Zanzibar maendeleo tokea 1977 wakati Chama chao kilipoanzishwa hadi leo? Cha muhimu zaidi, wawajibu Wazanzibari angalau Masuala 7 yafuatayo...
10 Reactions
47 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Tume ya kurekebisha Sheria Zanzibar, Jaji Mshibe Ali Bakari amesema bado jamii haijabadilika na inahitajika elimu ya kutosha ili kutokomeza vitendo vya udhalilishaji dhidi ya watoto...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Watanzania tumeendelea kuishi maisha ya kutojua kesho yetu kwa zaidi ya miaka 59 ya uhuru. Barabara mbovu sana hasa huku kwetu vijijini,maji taabu sana huku vijijini,dawa hakuna, shule ndiyo...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna tatizo kubwa lipo kwa mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Mh.Boniface Jacob. Siasa za upinzani sio za kushambuliana wenyewe kwa wenyewe, lakini anachofanya huyu kitapelekea tatizo kubwa kwa...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
Sioni kama yule mwandishi NGULI, msomi wa uandishi Kisha akahamia kwenye wigo wa Sheria Bwana Pascal Mayalla Kama anaweza jibu hoja hizi. Nyani Ngabu the Monkey of the nation anaweza kumung'unya...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Deogratias Mutungi Bwana Tundu Lissu mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA anajenga hoja na ana hoja pindi anapokuwa jukwaani akinadi ilani ya chama chake, lakini hulka binafsi ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mara nyingi naegemea Upinzani Ila leo nawapongeza CCM kwa walivyoanza kampeni zao. Hawajawashambulia Wapinzani kwa kejeli au matusi kama ilivyokuwa mwaka 2015 ambapo Lowassa alitukanwa sana kuhusu...
17 Reactions
84 Replies
6K Views
Zimebaki siku 20 tufikie uchaguzi. Hali ya mambo ni kuwa Tundu Lissu, Le profeseli Lipumba na wengine wengi akiwemo mzee wa mtama ni wazi kuwa hawa watu wamesanda. Watu hawa wanashindana ili...
23 Reactions
142 Replies
11K Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa Wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana hilo Suala lilizungumzwa...
25 Reactions
118 Replies
11K Views
Rais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish. Kiingereza...
126 Reactions
360 Replies
32K Views
Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao. Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia...
21 Reactions
147 Replies
10K Views
1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi, 2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa, 3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi, 4. Kuna kuhakikisha...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Picha : Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
48 Reactions
141 Replies
15K Views
Nimepitia hizi picha zinazodaiwa kuwa huu ndio mkataba wa makubaliano ya muungano wa tanganyika na Zanzibar kati ya Julius Nyerere na shekhe Abeid Amani karume umejaa mambo muhimu na yamsingi na...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Lissu - Kwa kuwa Mgombea Urais wa CCM ameshalegea, naomba sasa nimpe wazo lingine, alitekeleze haraka:- futa hizo sheria kandamizi zilizotungwa chini ya Waziri Mpango, ili kuibia wananchi wetu...
31 Reactions
111 Replies
14K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kampeni zinazofanywa na mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Dk Hussein Ali Mwinyi za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akiwa anawahutubia wanasheria kutoka Nchi mbalimbali za Africa, Mh Jk amewaambia wanasheria hao wahoji mahakama hiyo kuwa ni kwa nini wengi wanaoshitakiwa ktk Mahakama hiyo ni Waafrica?. Mimi...
2 Reactions
117 Replies
16K Views
Naona pans tatizo kubwa. Na ndo hao wasomi wanapitisha Kanuni na Sheria za hovyo bungeni. Msomi mzima anajua maana ya Uhuru na Haki, anatia sahihi na kupitisha mambo us hovyo. Inatuonyesha kwamba...
3 Reactions
9 Replies
862 Views
Back
Top Bottom