Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rating Action: Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stable 21 Aug 2020 London, 21 August 2020 -- Moody's Investors Service ("Moody's") has today downgraded the foreign and local...
25 Reactions
180 Replies
29K Views
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ikifanya manunuzi mbalimbali ya vifaa vya Uchaguzi bila...
20 Reactions
160 Replies
17K Views
Tukiachana na ubora wa Magufuli au mbwembwe za Lissu(almaarufu mwanasheria) kuna huyu mgombea ambaye pamoja na ubora wa pointi anayoishupalia, watu tumeziba masikio yetu na kumpuuza. Huyu bwana...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Katika hotuba hii muhimu utaona tulifanya makosa makubwa sana kuchagua viongozi wasio heshimu na kuilinda Katiba na sheria. Na alisisitiza kuwa tunahitaji kiongozi mwenye kuheshimu Katiba na...
5 Reactions
9 Replies
734 Views
Leo nilienda safari ya kumtembelea rafiki yangu ambaye yeye na mke wake wote hawana smart phone. Nilipofika nikamkuta mke wake na wageni akanieleza aliyoona jana wakati anaenda Kibaha. Anasema...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo. Akiwa na msafara mkubwa wa magari...
60 Reactions
164 Replies
27K Views
Soka ndio mchezo unaopendwa zaidi na watu wengi hapa Tanzania. Mchezo wa soka hauna itikadi, lakini chini ya utawala wa CCM, mchezo wa soka umelazimishwa kuwa wa kiitikadi za kisiasa. Kwa uchache...
1 Reactions
2 Replies
795 Views
Amani iwe nanyi. Nimejaribu kupita pita karibu kila tweet ya huyu anaejipambanua kama anataka kuipigania haki katika nchi yetu ya Tanzania hasa wakati huu wa Uchaguzi, Bw. Robert...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Tundu Lissu mmojawapo wa wagombea uchaguzi Mkuu 2020 ambaye anazunguka kuomba ridhaa. Watanzania tuna kila sababu ya kumuhoji Lissu maswali haya. Lisu huyu ndiye yule aliyekuwa akiwatetea ACACIA...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga...
41 Reactions
101 Replies
12K Views
"Nikienda kupata ridhaa na kura zenu za kutosha tarehe 28 nawaahidi kurudisha kiwanda cha kuzalisha gas hapa mtwara ili watoto wetu, vijana wetu nao wanufaike na rasimali hii Mungu aliyetuzawadia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Queen Sendiga kaelezea umuhimu wa rasilimali zilizopo Mtwara kunufaisha wanamtwara "Jukumu lingine kubwa kwa serikali makini inayojali maisha ya watu ni kupanga namna njema ya matumizi ya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefungua Skuli ya Sekondari Mwanakwereke, ambayo hivi sasa inatambulika kwa jina la Skuli ya Sekondari ya Dkt. John...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TAARIFA: Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea...
7 Reactions
94 Replies
8K Views
Kwa muda mrefu,sikuwa ninafuatilia masuala ya siasa na hasa za upinzani kutokana na nature ya shughuli zangu nizifanyazo za kila siku,kiukweli nafasi yangu ni ndogo na hata ikitokea nina nafasi...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Lissu ana mapungufu yake tena mengi tu! Vivyo hivyo kwa Magufuli. Kampeni ni kutoa ahadi za matumaini. Kwa upande wa Magufuli ana nafasi nzuri kwa kuwa ni rahisi kuthibitisha utendaji wake kwa...
12 Reactions
70 Replies
6K Views
Wasalaam wanajamvi Nikiri wazi kuwa wanachadema na viongozi wao wanajua kila jambo na wao ni wataalam wa kila taaluma! Lakini kinacho shangaza zaidi inakuwaje hawa magenious wanashindwa...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanaukumbi hasa wanaCCM hongereni na tukio kubwa la uwanja wa taifa Dar sasa kura zote kwa JPM. Huku kusini Wamakuwa, Wamwera, Wandengereko, Wamakonde hadi waruingu sasa ni furaha kuu baada ya...
7 Reactions
79 Replies
7K Views
Back
Top Bottom