Uchaguzi 2020 Video: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aingia Mlimani City kununua mahitaji ya nyumbani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,236
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa .

Picha : Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market

- Tabasamu Wafanyakazi wa Game Supermarket Mlimani City wakiwa katika picha ya pa ( 800 X 640 ).jpg

Subpost 9 - Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mu ( 360 X 640 ).jpg

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu akionesha maana ya kuwa mtu-huru ndani ya nchi yake, leo hii alipata nafasi kutembelea shopping mall moja kubwa na kujionea ni bidhaa gani zinapatikana ndani ya mall hiyo jijini Dar es Salaam kisha kununua mahitaji yake kama raia-huru.

Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi

kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
 
🙊🙊🙊🙊🙊🙊🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈
 
Wengi wetu hatukujua kama jamaa ni makamu mwenyekiti wa chama, anyway ngoja apambane ili aongeze kura kwenye zile 2% alizokuwa apate October
 
Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi

kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
we suppose to change the direction"
 
Back
Top Bottom