Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wazi CCM mpya inatumia uharamia kushinda nafasi za ubunge na udiwani katika Kanda za Mashariki, Kusini, Kaskazini na visiwani kwa kujua wazi hawawezi kushinda kwenye box la kura. Kanda ya ziwa...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Wasalaam, kwanza kabisa nawapa pole watumishi hasa umma kwa yaliotokea Leo kwani ni mwaka wa4 mfululizo no niongeza ya mshahara. Nasikia pia mnadai madeni ya likizo, na kwa wale masoja nasikia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Magufuli amegundua watumishi wengi wa Umma hawampendi kwa kukandamiza maisha yao. Watumishi wengi wamejitokeza na post za kuonesha hasira zao juu ya kutolipwa nyongeza zao za mwaka, kutopandishwa...
15 Reactions
95 Replies
10K Views
With all due respect tena kwa unyenyekevu mkubwa naleta ombi maalum kwa Rais wetu Mzee Magufuli wananchi tunaomba pia atuheshimu. Mheshimiwa Rais baada ya kuapishwa kuwa Rais katiba ilimpa fursa...
2 Reactions
1 Replies
708 Views
Dunia na Ulimwengu unahitaji miradi endelevu ya maendeleo baada ya mfumo wa miradii ya maendeleo kuonekana haina tija. (The world is focusing on Sustainable Development projects and programs not...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kada ya watumishi ndiyo injini inayoendesha na kutekeleza kazi za serikali. Wanasiasa wote hata wanapojibu vizuri maswala mbalimbali basi majibu wanayatoa kwa watumishi wa Umma. Watumishi wana...
8 Reactions
20 Replies
4K Views
Yaani sijajua how come Serikali inaanza kuuza dawa yaani inafungua maduka ya kuuza dawa. Badala wajikite kuweka mifumo bora ya afya ikiwemo Bima wao wanakimbilia kuanzisha maduka ya kuuza dawa...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Mwanasiasa mkongwe na mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Hassan Nassor Moyo amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mkoani Tanga Mzee Moyo ambaye pia ni Waziri Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
6 Reactions
77 Replies
13K Views
Ndugu Wana jukwaa wenzangu nawasalimu. MAKULUMLA ndio hilikiwa ngome ya chadema kwa Jimbo la Ubungo lakini Toka kitila apate ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama Cha mapinduzi, wakazi hao...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Kwenye Kampeni za Uchaguzi, Wagombea wanalazimishwa kuongea Kiswahili au wawe na Mkalimani pale penye ulazima. Sasa inakuaje Lissu Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA...
11 Reactions
100 Replies
10K Views
1. Tusimamie haki, tutende haki na tuhamasishe watu wetu kutotumia nguvu inayo dhuru mtu, ua watu , kupoteza watu na kuharibu uchaguzi. Toka tulipoanza na tulipofikia kuna matukio mengi tayari...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Tumetoka kwenye ukata wa pesa Tumetoka kwenye asilimia 15 ya bodi ya mkopo Tumetoka kwenye mateso, utekaji na mauaji Tumetoka kwenye ukosefu wa ajira Tumetoka kwenye kusimamishwa fao la...
2 Reactions
6 Replies
842 Views
Naanza kwa kukiri kuwa mimi sio mwandishi mzuri ila uzi wa Pascal Mayalla umenifanya nijitutumue kuandika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia ile mobilization iliyofanywa na wasanii kule nchini Nigeria kina Davido na wenzake wakiandamana kuomba kile kikosi maalum cha Polisi kinachotesa Raia kivunjwe na hatimaye...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano. Hii sio haki kwani...
13 Reactions
30 Replies
4K Views
Sifa nyingine nzuri aliyonayo JPM ni kupanga mipango vizuri, tena inayotekelezeka. Amepanga na kuanzisha miradi mikubwa mikubwa ambayo ni ya kimkakati na kuchagua kutumia mbinu ya ‘iende...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa upande wa CCM, huduma za afya zinachukuliwa kama huduma za msingi zinazolenga kupatikana kwa urahisi, gharama nafuu na kuweza kujenga taifa la wachapa kazi. Na mifano ya awali ya...
2 Reactions
1 Replies
518 Views
Ni kama vile Shughuli imeisha jimbo la Ubungo, hii hapa ni kata ya Makuburi.
12 Reactions
33 Replies
5K Views
Mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, akizungumzia tukio la mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia CCM, Dkt Magufuli juu ya kauli zake kuhusu wanawake...
26 Reactions
135 Replies
14K Views
MJUE MTIA NIA WA CUF JIMBO LA KOROGWE MJINI AMINA JUMAA MAGOGO. ELIMU. Mh Amina Magogo alianzishwa elimu Yake ya msingi katika shule ya msingi Namanga,mwaka 1999_2005. Baada ya kumaliza elimu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom