USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,888
- 22,646
Nimepitia hizi picha zinazodaiwa kuwa huu ndio mkataba wa makubaliano ya muungano wa tanganyika na Zanzibar kati ya Julius Nyerere na shekhe Abeid Amani karume umejaa mambo muhimu na yamsingi na kuufanya muungano huu kuwa imara
Sasa ni zaidi ya nusu karne muungano hu mkongwe umazidi kuimarika na kuzaa amani na kupaa kwa uchumi wa pande zote
Ukisoma kwa umakini utajua hakukuwa na ulaghai wala hila katika hati hii na makubaliano haya
Mungu utunze muungano huu imara