Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanaukumbi hasa wanaCCM hongereni na tukio kubwa la uwanja wa taifa Dar sasa kura zote kwa JPM. Huku kusini Wamakuwa, Wamwera, Wandengereko, Wamakonde hadi waruingu sasa ni furaha kuu baada ya...
7 Reactions
79 Replies
7K Views
Tofauti za dini zilishindwa kutugawa. Serikali haina dini na hakuna anayelazimishwa kuwa na dini. Tofauti za makabila zilishindwa kuligawa Taifa. Makabila madogo yana fursa sawa kama makabila...
53 Reactions
97 Replies
8K Views
HALI YA MAISHA YA WATANZANIA NI NGUMU SANA VYUMA VIMEKAZA NICHAGUENI OKTOBA 28, NIFUTE UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ili tuelewane sote tunahitaji kupata majibu, ufafanuzi na kuelimishwa maana haijawahi tokea tukapiga kura siku 2 tofauti, tunauliza tume ya uchaguzi je, 1. kura zitahesabiwa siku hiyo hiyo ya tar...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
BILA VITU,MTU ANAKUWAJE NA MAENDELEO!? Leo 11:30hrs 11/10/2020 Utajiri wa mtu unatokana na vitu alivyonavyo,vivyo hivyo Utajiri wa Taifa unatokana na pato la taifa linalotokana na vitu kama...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Poleni......!!! Saaana ndugu zetu wa act wazalendo, pole kwa kiongozi wa chama, pole kwa mwenyekiti, pole kwa viongozi wote bara na visiwani, poleni wanachama, wapenzi na mashabiki wa chama...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
UKIWAKUTA walevi wanasifiana unaweza ukashangaa ni jinsi gani wamehitimu katika sanaa ya kupeana ujiko. Ni kama mashindano ya nani anaweza kutoa sifa zaidi kwa mlevi mwingine. Na katika kujua...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
Dkt. Mwinyi mgombea wa kiti cha urais Zanzibar ni kiongozi mwenye hoja mama na falsafa za ukombozi zenye kujikita kwenye uungwana wa utu kwanza katika kuwatumikia watu, anashawishi anapojenga...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuwa inatoa mkopo kwa Wanafunzi kulingana na siku za masomo kwa kila robo ya mwaka wa masomo Imeeleza kuwa kutokana na COVID19 siku...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Wagombea Ubunge wengi wa CCM wamekwama kufanya kampeni kwa kuzingatia ratiba ya tume huku sababu zifuatazo zikitajwa 1. Kukosekana kwa fedha na chama, wabunge wengi wanakwama baada ya bajeti...
37 Reactions
104 Replies
11K Views
Dr. Tulia Ackson Ni vyema ukajifunza unapozungumza na Wananchi na ukatambua nafasi ya kazi unayotuomba tukupatie Wana Mbeya. Kazi ya Mbunge siyo kwenda kuomba fedha kwa Rais, fedha za nchi ni...
38 Reactions
54 Replies
6K Views
Wazee wenye elimu wametujuvya ya kuwa mara hii CCM inaanguka na sehemu ambayo itapigwa na chini ni Zanzibar ni baada ya kutokea tetemeko la ardhi baharini hivi majuzi, wazee hao walienda mbali...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
I managed to carefully listen to President Magufuli addressing the EAC heads of State. His english is neither good nor bad but it can be better. President Magufuli speaks SwahiEnglish, a language...
24 Reactions
1K Replies
124K Views
Tume ya uchaguzi mnashindwa kujitenga na chama Cha mapinduzi. Mliaanza kuwapa ushindi wa mezani, mkamaliza mkawasimamisha wagombea wa udiwani na Ubunge kufanya kampeni lakini homa ikazidi...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Tanzania inapitia kipindi cha mabadiliko makubwa sana ya kisiasa. Alichojaribu kufanya Magufuli na serikali yake katika hii miaka mitano na resistance aliyoipata hasa kipindi hiki cha uchaguzi ni...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Habari wanaJf, leo kuna jambo ambalo ninapenda kueleza ambalo kiukweli linanishangaza sana na kuniacha mdomo wazi. Nakiri kuwa nilikuwa ninaamini sana tabia tulizonazo sisi washabiki wa chama...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni ukweli ulio dhahiri kwamba masikini hafilisiki maana hana kitu cha kufilisika. Na shida na taabu ni sehemu ya maisha yake. Starehe na furaha huvipata kwa nadra sana, hivyo hata sipovipata kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza kabisa tukubaliane kwamba mtanange wa uchaguzi umepamba moto huku kila chama cha siasa kikijitahidi kunadi wagombea wake na kushawishi wananchi kuwachagua. Kwa namna nyingine tumeona...
16 Reactions
37 Replies
7K Views
Katika hali ya kushangaza kilaza mmoja, GABRIEL MALATA[solicitor General] anatokea kwenye vyombo vya habari na kukemea mawakili wanaobeza hukumu ya kipumbavu kabisa kuwahi kutolewa katika mahakama...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Mgombea wa CCM akihubiri Upendo, Umoja, Amani na Mshikamano; Mgombea wa CHADEMA anahubiri mafarakano na utengano baina ya Watanzania wenyewe. 2. Mgombea wa CCM anaeleza namna kusimamia na...
0 Reactions
4 Replies
731 Views
Back
Top Bottom