Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu, Maajabu hayaishi,ukisikia visingizio kuhusu karatasi basi ujue hadaa kuhusu kalamu maalum kupiga kura inakuja. Hili si geni,ikifika kipindi karibu na kupiga kura lazima Chadema...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna. Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa. Nimeishi jimbo ka Kawe...
19 Reactions
390 Replies
23K Views
Hakukuwa na sababu ya msingi kwa MC, DJ Mbowe na Mwalimu kuwapa watu waliohudhuria tension zisizo na maana eti kuna maamuzi mazito yatokanayo na uenguaji wa wagombea wa ACT na CDM. Taarifa...
6 Reactions
12 Replies
4K Views
NUKUU ZA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA HALMASHAURI KUU, ITIKADI NA UENEZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA KATA YA MAKONGO JUU - KINONDONI 11 Oktoba 2020 1. "Nataka ndani ya hizi siku 7, mafundi wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MKINICHAGUA OKTOBA 28, KUWA RAIS WA NCHI HII NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" DODOMA- CHEMBA Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote Haki ya Elimu kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Wakuu amani I we nanyi! Miaka ya hivi karibuni taifa letu limeshuhudia ongezeko kubwa sana la ukosefu wa ajira. Tatizo hili limepelekea mpaka msongo wa mawazo na ufukara kwa watanzania wengi...
0 Reactions
3 Replies
816 Views
Baada ya uchaguzi mkuu 2015, tulikuwa na "serikali ya Magufuli". Hii ndyo ilikuwa kauli ya wanasiasa wengi upande wa CCM hasa wale waliokuwa wakijipendekeza kupata vyeo. Na aliyekuwa akiongoza...
26 Reactions
43 Replies
8K Views
Mi naona kama awamu hii imekuwa funzo kubwa sana kwa watanzania. Kunaviongozi waliopo serikalini awamu hii ninauhakika baadhi yao wakipimwa akili zao ni lazima kuna wenye matatizo ya kiakili...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Before the retirement of Mwl Nyerere Tz there had a lot numbers of aeroplanes, manufacturing industries, so I get wonders when I see some of politicians beg the votes, due to the revival of the...
1 Reactions
0 Replies
524 Views
Mwanzoni, Rais Magufuli alivyokuwa ameingia madarakani, alijitapa sana na statistics za Ukuaji wa uchumi. Kila aliposimama jukwaani lazima alizungumzia kuwa Tanzania uchumi unakuwa kwa 7.0 to 7.1...
17 Reactions
92 Replies
10K Views
Miaka mitano inapita, Watanzania tumeona watu na kauli zao za kujali wanyonge na kuwatetea wanyonge na kutaka kuwakwamua watu kwenye umasikini. Umekua ni wimbo na unafiki wa hali ya juu. Kinyume...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kila siku ipitayo kwa Mungu historia mpya ya nchi hii inaandikwa. Historia hii ina jambo la kijifunza ili kusaidia kujenga taifa kutokana na experience inayopata. Napenda kuchukua nafasi hii kama...
26 Reactions
40 Replies
5K Views
Kila kona ya nchi yetu, watanzania wanafurahia kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Mheshimiwa Rais Magufuli katika sekta ya elimu ikiwemo kutoa elimu bila malipo kwa shule za msingi na sekondari...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi. UNAJUA ALISMAJE? Lissu...
34 Reactions
39 Replies
4K Views
Wameona Mbatia anatema cheche wamekata matangazo na kutupeleka kwa rungwe Hivi wataacha lini huu uhuni? Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii Update Rungwe kwanza kuongelea juu ya ulafi...
6 Reactions
55 Replies
9K Views
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad (pichani), amesema wanawake ni jeshi kubwa linalotegemewa kushiriki katika uchaguzi mkuu na kuleta ushindi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tangu tupate Uhuru nchi yetu imekuwa ikitawaliwa na CCM. Ukipita katika majimbo mbali mbali hasa yaliyo chini ya CCM watu wake ni wanyonge na wamezungukwa na umaskini mkubwa. Kuna baadhi ya...
3 Reactions
1 Replies
554 Views
Nimekuwa nikifatilia habari mbalimbali hususani habari za UCHAGUZI KUU NA WAGOMBEA WAKE. nimegundua ni ITV pekee wanaorusha habari sahihi zisizo elemea upande wowote ule(sijui azam).ukikosa...
25 Reactions
46 Replies
5K Views
Mara baada ya nchi yetu kupata uhuru iliamua kufuatia mfumo wa siasa ya ujamaa na kujitegemea na ilipofika mwaka 1967 lilitangazwa Azimio la Arusha ambapo njia kuu zote za uchumi zilikuwa...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Kushinda uchaguzi ni moja na kuwavuta kwako watu wengi wezekanavyo ili wawe upande wako wao na familia zao wakupe kura. CHADEMA tumeiona ikiponda kuanzia Askari, wafanyakazi wa tume, viongozi wa...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Back
Top Bottom